WhatsApp Call

WhatsApp Call

pejohn

Senior Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
149
Reaction score
51
Mara naamka si nikakuta WhatsApp wamenisogezea huduma ya kupiga simu, aisee raha kweli kama hujaipata basi update hiyo App usahau Vifurushi vya mitandao yote.
 
Mm mbona kwangu haipo au kwenye window phone hazijafika?? Naipatajee?
 
Kweli ww ulikuwa umelala...watu wana karibu mwezi wanaitumia wewe ndo unashituka leo

Nami nimekutana nayo leo kwenye cm yangu lakini nimekutana na tatizo naomba unisaidie.

1.Nikizungumza na mtu inarudisha kwangu ninachokizungumza nakisikia tena.
2.Ninachokizungumza kinachukua muda kumfikia ninayezungumza naye na pia anachozungumza yeye kinachukua muda kunifikia kama inavyokuwa mawasiliano kati ya nchi mbili tofauti au miito ya mbali...

Hayo yanasababishwa na nini !? Kwani hayaleti raha katika mawasiliano.

Msaada tafadhali. Ahsante.

Tafakari...
 
Mm mbona kwangu haipo au kwenye window phone hazijafika?? Naipatajee?

Nami nimekutana nayo leo kwenye cm yangu lakini nimekutana na tatizo naomba unisaidie.

1.Nikizungumza na mtu inarudisha kwangu ninachokizungumza nakisikia tena.
2.Ninachokizungumza kinachukua muda kumfikia ninayezungumza naye na pia anachozungumza yeye kinachukua muda kunifikia kama inavyokuwa mawasiliano kati ya nchi mbili tofauti au miito ya mbali...

Hayo yanasababishwa na nini !? Kwani hayaleti raha katika mawasiliano.

Msaada tafadhali. Ahsante.

Tafakari...

nadhani hapa Fareal atawasaidia...msisahau ku-like jibu lake
 
Last edited by a moderator:
Ila hajaonekana kwenye uzi huu, au umewasiliana naye anakuja kutatua tatizo...!?

Tafakari...
ni kweli Intonjanda (tanguliza-tumbo, kikwetu) Fareal hajaonekana kwenye uzi huu ila atakuja maana alianzisha mada kama hii na kujibu maswali pia...vuta subira kidogo atakuja...si unajua tena mambo ya foleni huko aliko!!au nikupe namba yake umuendee hewani...:smile-big:
 
teh teh teh...si unajua tena tunahangaika na maisha kwa ajili ya tumbo....

Kuhusu suala namba ngoja tuvute subira kidogo kwani akijitokeza humu itakuwa faida kwa wengi...akichelewa kuja nitakutafuta unipe namba yake.

Tafakari...
 
Last edited by a moderator:
mwenye iyo version mpya yenye whatsapp calls anipatie link tafadhali
 
Inakula Bundle sanaaa Mi nimeitumia kwa Muda Mrefu kama mwezi
 
Back
Top Bottom