Whatsapp: Blue Tick Read Confirmation Inakukera ?

Asante..nimejaribu nimekwama.nilitaka kutuma screen capture huku nikashindwa..naituma kule naomba please

Am so sorry mwana ally sikuwa online na pia kule naona wala hujatuma hiyo screen capture mkuu kwani unatumia jina gani kiongozi...?.
 
Last edited by a moderator:
Jambo jamani..hii tick ya blue haionekani kwa contact zote..kwangu ni baadhi ya contact tu. Je inafaida gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom