Mmh sikuwahi jua kama huko nako kuna ban
Tofauti ni ipi kati ya hizo mbili
Mkuu cjakuelewa vzr nielekeze Vzr kwan kila nikierka ni naambiwa ni donwload latest lakin nikidonwload latest inakuja ya kawaida na c plus nifanyeje
Hayo maswala ya security kayaeleza kwenye website yake vizuri waweza kupitia kusomaKumbukuni kuwa always kuna risk ya security ukiwa unatumia unofficial clients so msivamie tu, hasa hivi unadownload tu APK bila kujua inatoka wapi na wameweka nini humo ndani, mtaumia. Na dev wa WhatsApp plus alisema hatengenezi tena au?
Pia WhatsApp wanaweza wakatumia njia nyingine kudetect kuwa unatumia client nyingine na hapo ban itakukuta.
Kumbukuni kuwa always kuna risk ya security ukiwa unatumia unofficial clients so msivamie tu, hasa hivi unadownload tu APK bila kujua inatoka wapi na wameweka nini humo ndani, mtaumia. Na dev wa WhatsApp plus alisema hatengenezi tena au?
Pia WhatsApp wanaweza wakatumia njia nyingine kudetect kuwa unatumia client nyingine na hapo ban itakukuta.
Sasa mwana tech gani anaogopa risk? ww utakua basi hata software za ku crack hutumii.
By the way sio lazma mtu uweke plus una weza baki na official vile vile.
anaposema risk anamaanisha kama kuibiwa data, mfano dev wa whatsapp plus anaweza akawa kila backup ya message anaichukua copy yake inamaana conversation zako zote toka mara ya mwisho kuformat simu anaweza kuwa nazo. hakuna security yoyote inayoficha backup ya whatsapp. kama mtu una classified information ni bora usitumie w+ au kuhama android kabisa
Hayo maswala ya security kayaeleza kwenye website yake vizuri waweza kupitia kusoma
Na waweza tembelea facebook fun page yake uone alichokua aki post siku ya ban ilipotokea na baada ya Ban kutokea
WhatsApp Plus 6.76 No Anti How to Remove Ban AntiBan Material Design Rahil Android APK Download | OsmDroid.net