WhatsApp application for tecno

WhatsApp application for tecno

Chele2

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
102
Reaction score
5
Habarini wataalam. naomba kujua kama tecno 756 inaweza kuwa na access za whatsapp! na kama inaweza niipate vip kwenye sim yangu?
 
Jaribu ku google whatsapp then nenda kwenye website yao utaona sehem ya kudownload..
 
Mchainizi ana whatsapp!??
Unazungumzia nini wewe hiyo tecno ni simu orijino toka china inategemea unatumia tecno gani,mimi ninayoitumia ina kilakitu ambacho unaweza kupata kwenye samsung galax!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
niangalie vip mkuu?

Sim yako kama aina google play store ujue huwez and ebu chek kama sim yako inatumia OS ya android hyo unaweza kuiona katk iformation za sim
Alaf tecno znazokubali android bei zake nyng n kuanzia 130,000 kam umenunua 45,000 ujui hyo cio
 
Swali juu ya swali mm kasimu kangu ni nokia C3...nilikua naaccsess whatsup mara ikaxpire....kuapregade hola....wajuz wa mambo nifanyaje?
 
Habarini wataalam. naomba kujua kama tecno 756 inaweza kuwa na access za whatsapp! na kama inaweza niipate vip kwenye sim yangu?

Hapana mkuu, Tecno T756 haina uwezo wa kutumia whatsapp.
 
Swali juu ya swali mm kasimu kangu ni nokia C3...nilikua naaccsess whatsup mara ikaxpire....kuapregade hola....wajuz wa mambo nifanyaje?

Sasa hivi whatsup zote zinazo expire ukifanya upgrade wana chaji pesa!
Lkn ni pesa ndogo sana!
Ni kama dola 1 kwa mwaka!
Sasa hapa una choice mbili!

1.badilisha namba na uweke sim card ingine ambayo haijawahi kuwa na whatsup before! (Hapa huna utapata service ingine ya mwaka 1 bure!)

2.lipia dola 1 kwa mwaka au dola 2 kwa miaka 3!

Na watz walivyo mabakhili hata dola moja wanabana!

Teh teh teh teh!

"Bure mara zote ni ghali"
 
Sikuwa nafahamu mkuu....sasa haya malipo ni online? Maana nimegoogle napata information kama nokia C3 haisuport whatsup tena.....sasa kama naweka kifurush kinachonikost buku mbili kwa wiki ntashindwaje hyo dola moja kwa mwaka?......hebu nipe maujanja mkuu nimeimiss whatsup
 
Ingia kwenye google play!
Download upya hio whatsup! Mwisho itakuuliza malipo! Fata maelekezo!
Kama unayo hio whatsup kwenye simu yako ambayo haifanyi kazi! Basi I delete halafu udownload upya!
Kama hio new version ya whatsup haiko supported na nokia yako! Basi itakwambia wakati wa ku download upya!
Na kama hio ndio sababu itabidi ubadili simu mkuu! Kama tatizo sio hilo !
Ukikwama ni pm!
 
google whatsapp for s40, download kwenye computer ihamishie kwenye memo card futa iliyo kwenye simu. weka memo card kwenye simu ilocate whatsapp kwenye memo card i move kwenye folder la simu kama games au apps. Itafanya kazi lakini wakati wa download hiyo whatsapp ya s40 hakikisha ni latest kwa s40. Ningekuwa natumia pc ningekuwekea file kabisa lakini natumia simu.

Back
Top Bottom