nataka niendelee kutumia ila nisiwe naonekana online
unahitaji whatsapp+ ambayo ipo unlocked ndo inaweza fanya kazi hio. sasa hv ipo version 4.35 kama sjakosea. google then idownload. un install whatsapp ya kawaida kisha install whatsapp+ kwenye page ya chat bonyeza menu utaona sehemu ya kuhide.
ukishindwa rudi utafuniwe
zima simu.. au watu usiotaka wakuone ondoa namba zao kwenye contact list yako
Mambo vipi?
wataalam nisaidieni mwenzenu!
kama kuna anayejua namna ya kutoonekana online kupitia whatsapp..yani hata nikiwa nachat .lets say nimeingia online saa 8am,ionekane hiyo hiyo kutwa nzima!
masuala ya kubambana na mabosi na vipemba tuyaepuke! wakikuona online hawaachi either kutext or call! basi hata la kujitetea huna!
please help:crying::crying::crying::crying::crying::crying::crying::crying:
unahitaji whatsapp+ ambayo ipo unlocked ndo inaweza fanya kazi hio. sasa hv ipo version 4.35 kama sjakosea. google then idownload. un install whatsapp ya kawaida kisha install whatsapp+ kwenye page ya chat bonyeza menu utaona sehemu ya kuhide.
ukishindwa rudi utafuniwe
Assuming anatumia android os, vp kwa other os mkuu?
Inabidi ulipie dola 3.49 baada ya kushusha whatsapp+
chief kazini.umemaliza kila kitu yangu hata cna la kuongeza.
my sista..ujana huu! ukipita tutaacha!