Whatsaap web

Ni kweli uaminifu ni shida sikuhizi kwa jinsia zote watu hawawi wakweli sijui wanataka nini yani. Tamaa zimezidi
 
Ni kweli uaminifu ni shida sikuhizi kwa jinsia zote watu hawawi wakweli sijui wanataka nini yani. Tamaa zimezidi
Imagine mschana tayar kashaposwa tena kwa hiar yke bdo mwez aolewe then anacheat huyu anataka nn sasa
 
Imagine mschana tayar kashaposwa tena kwa hiar yke bdo mwez aolewe then anacheat huyu anataka nn sasa
Kweli hyo ni hatari naelewa hyo hali mahusiano ni changamoto mno sikuhizi. Heshima zero hapo Dada si inabidi ajitulize
 
Kweli hyo ni hatari naelewa hyo hali mahusiano ni changamoto mno sikuhizi. Heshima zero hapo Dada si inabidi ajitulize
Yah but me nahack sabb za usalama wangu binafs cz ndo njia pekee ilobk ......even to escape the country I will do that ......
 
Kwa kifupi huwezi doenload whatsapp web, ila unaweza fungua whatsapp kwenye browser ya computer.

Hii iliwekwa mahsusi na whatsapp ili mtumiaji wa whatsapp aiwe anahangaika kufungua simu yake pindi atumiapo computer. So unaifungua whatsaap yako kwenye computer kwa kutumia browser ya computer.

Ila ss imepara matumizi mengine kuwa mtu unaweza fungua whatsapp ya mtu mwingine kutumia computer shart lake n kuwa lazima uwe na simu husika ili uweze ilink computer na whatsapp husika
 
Kwan watsapp web inadaunlodiwa?
Mi nnachojua ipo ndan y watsapp
 
hakuna kitu kama hicho privacy zinalindwa sana ndugu yangu ila ukitaka kuhack zipo app za kununua unaziweka kwenye simu ya unaemtaka na kuzificha hazioni hapo ndo utajua ila bila hivyo uongo
zipo nyingi...download app inaitwa spyhuman
 
Unaweza download whats web mm nimedownload n nmetumia kuhack simu ya mhusika ...cjatumia laptop Ila Simu ya mhusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…