Whats wrong with you?

Klorokwin nimemfukuza kazi siku mingi sana.

Lawyer wangu ni KIMEY. Ndo alienisaidia kupata divorce. His awesome.

hahaha kumpe umepa lidandaz hehe mpe kimey namba yangu please.
 
yani wee ni mdaku.com

Dada Kabakabana... Mara ya kwanza ulimpenda akaringa... Baadaye,akaja tena,ila wakati unamfikiriafikiria,akaharibu tena kabla hata safari ya mapenzi haijafika nusu si ndiyo?
 
Kabah, msamehe bure
kwasababu wewe unaumiza nafsi yako yeye hana linalomkera kabisa
madhara ni kwako tu, mwishi bp na madonda ya tumbo yakuvamie bure, kwasababu ya mtu usiye na wajibu nae na wala hana wajibu wowote na wewe
 
nilikuwa nataka nimpe chance ya kuwa rafiki tu na akaharibu kwa hiyo kawa adui.
 
Kabah, msamehe bure
kwasababu wewe unaumiza nafsi yako yeye hana linalomkera kabisa
madhara ni kwako tu, mwishi bp na madonda ya tumbo yakuvamie bure, kwasababu ya mtu usiye na wajibu nae na wala hana wajibu wowote na wewe

nataka aache kunifatilia,nalinda ndoa sasa hivi asije akaniharibia.
 
Kaby... Daniel amekutenda vipi mpaka una hasira namna hiyo?
 
yani amy nikipatwa na shida unanikimbia?kweli akufaaye kwa dhiki lol?jana nakupigia simu siku nzima unisaidie kumtafuta huyu fedhuli ukanikimbia?poa tuone nani atakufichia siri zako kwa ricky kuhusu yule fataki lol.
 
LOL! Jana nilisahau simu "somewhere". So missed calls zote nimezikuta leo asubuhi.. Hilo lijamaa limeshajitokeza au kaogopa?

Kaby!! Hapo kwenye fataki hapo.. Tutaongea behind the curtain..
 
anaogopa na nilikuwa nishamuandalia sime bahati yake!, haya nitakustiri for the last last time swiry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…