Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Mi sijakabwa kwa jina hilo.
Kuna mtu kanikera kweli na nimemsaka kote nimemkosa sasa i know kwa hapa ujumbe utamfikia.
Ulipendwa ukaringa,ukanianza upya baada ya kukutupulia mbali. Okay sasa baada ya kuona nimemove on ni nini unataka eeh?
What you did last night you know where,has put you in awkward position with me,and i promise you we can never even be friends.
Your name ends it L and last name ends with O.So get it,
Kabby
kama karudia kosa then ana kosa!..so tupa kule iyo...nenda na kwenye recycle bin...delete permanently!..
huyu lazima ni Daniel nani sijui.....
dah....asikuzoee wala asikupake shombo.....
duuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:flock:
Kuna mtu kanikera kweli na nimemsaka kote nimemkosa sasa i know kwa hapa ujumbe utamfikia.
Ulipendwa ukaringa,ukanianza upya baada ya kukutupulia mbali. Okay sasa baada ya kuona nimemove on ni nini unataka eeh?
What you did last night you know where,has put you in awkward position with me,and i promise you we can never even be friends.
Asee....so hapa ndo unampa vidonge vyake sio...
Hahaha! Preta wewe!..anampaka shombo kwani umesikia anauza samaki?.. Jf raha kweli jamani!huyu lazima ni Daniel nani sijui.....
dah....asikuzoee wala asikupake shombo.....
Hehehe! Pole wifi, nitumie hilo jina lake kwenye sms tafadhal..
Hahaha! Preta wewe!..anampaka shombo kwani umesikia anauza samaki?.. Jf raha kweli jamani!
Wifi ninong'oneze basi hilo jina nikusaidie kujibu mashambulizi...najua anapita hapa so message delivered.
Ooh, pole bana! Usikubali akuharibie siku yako...nishakutumia,wifi yani kafanya siku yangu ianze vibaya kweli
Ni kweli bana, mie namtania Preta usijehamishia hasira za huyo mkosa kazi kwangu...shombo ni kitu chochote kinukacho wala hajakosea
Wifi ninong'oneze basi hilo jina nikusaidie kujibu mashambulizi...