Whats wrong with torrentz?? karpesky je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Whats wrong with torrentz?? karpesky je?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Firewall, Aug 23, 2012.

 1. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau hebu tujuzane hapa. kwa kiasi fulani
  mimi ni mdau wa hizi mambo from web za
  torrentz, nlichosikia kwa baadhi ya watu ni
  kwamba hizi webs zina alot of malwares thats
  why walio wengi hawazipendelea. Je hilo lina
  ukweli kiasi gani?? na kwa kiasi gani? Binafsi
  sometyms napakua vitu toka huko na sijawahi
  kupata tatizo lolote. so wadau 2juzane apo.
  Hilo moja, la pili.. Whats wrong with karpesky
  antivirus? Niliwahi kuinstall this antivirus
  kwenye pc yangu but pc ilikua veryyy slow. Ila
  nikiiondoa mashine inapiga mzigo kama kawa.
  Je hili tatizo ni kwangu 2? nw natumia Norton,
  pc inafanya kazi kama kawa tofauti na
  nlivowahi kuweka karpesky. tusaidiane apo
  wadau..
   
 2. MWAMUNU

  MWAMUNU JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 661
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  KASPERSKY Antivirus haina noma mi naitumia toka 2009 ni nzuri sana ila inataka pc yenye uwezo mkubwa iwe na RAM angalau 1GB na kuendelea pia ina uwezo wa kugundua website zenye virus !!
   
 3. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  pc yngu ina 2GB RAM so RAM sidhani ka ni tatizo
   
 4. k

  kamili JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Kaperskey naifagilia mkuu, nimeitumia 4 2 years now nimeipenda kwa kweki.
   
 5. e

  elmazrouy Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  while others follow,kaspersky does lead, visit any site, download anything you like, but when it alerts you never ignore!
   
 6. leh

  leh JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  anti virus zote ni wizi tu (my opinion)always download torrents ambazo zina a big number of seeders (watu hawana muda wa kuseed upumbavu) na kama una network yako ya nguvu jiunge on a private torrent site ambapo vitu ni uhakika zaidi
   
 7. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  So you mean torrents sites are safe?? But thanks, ntacheki hizo private torrents sites.
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Aug 25, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,817
  Likes Received: 7,153
  Trophy Points: 280
  Torrent kila mtu anashare kitu chake huwezi sema ni safe au si safe manake kila mtu na tabia yake.

  Mfano mi naamua maksudi namueka trojan kwenye adobe cs6 files ili wewe ukidownload computer yako idhurike. Ila mwengine anaeka vitu safe visivodhuru pc.

  Kama una ant virus nzur download tu. Pia kwenye torent kuna watu famous wenye mafile yenye seeders nyingi mfano the thingy wa pirates bay file zake lazima ziwe superb seeds nyingi easly cracked hadi unaona raha so utakapokua unadownload sana utazoea.
   
 9. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Thanks chief.. me natumia norton iko poa.. Wacha niendelee kupata huu uhondo.
   
 10. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kaspersky antivirus ipo bomba sana kwani ina uwezo wa kuzisoma hata websites zenye manyoka (virus), kwako yawezekana kuna software(s) ambayo umeinstall kwenye computer yako ambayo ina conflict (ugomvi/hazipatani) na hii Antivirus ya Kaspersky kwa hivyo muda mwingi hutumika katika kugombana hivyo kuathiri utendaji kazi wa mfumo mzima wa computer yako, lakini mimi ninacho jua Norton ndio inaongoza kwa kufanya computer iwe nzito, kwanza ni kubwa sana.
   
Loading...