Whats wrong with this browser?

g vizy

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2016
Posts
941
Reaction score
1,039
Habari za leo ?

Natumia mozilla firefox kuingia kwenye mtandao mara kwa mara
tangu nimeanza kuitumia haikuwahi kuleta shida yoyote
naingia kwenye websites mbalimbali bila shida yoyote

Sasa shida imeanza juzi kati nilipojaribu kuingia google kuangalia vitu fulani ikawa inaandika

"YOUR CONNECTION IS NOT SECURE "

Kila nikijaribu tena inaandika hvyo hivyo

Nkajaribu kubadilisha browser nkatumia ile ya window ambayo ni window explorer inanianiandikia hivyo hivyo
but connection ya internet ina acces vizur tu haina shida yoyote

Nilipojaribu kufuatilia ikaniambia kuwa your certificate is not valid or expered

Sasa nafanyaje wakuu ili niendelee kuaccess kama zamani nimeshindwa kuifanya hyo certificate kuwa valid nimeangalia kwenye setting naona chenga tu

Mwenye ujuzi hapa tufaamishane hii kitu.
NB;NATUMIA COMPUTER
 
Labda una tatizo la internet? Software nyengine zinazotumia internet zinafanya kazi?
Nimefanikiwa Kaka ishu ilikua ni tarehe niliset vibaya, sema imenitoa jasho kuanzia asubuhi nimefanikisha jioni kwa kuliwa bando la kutosha na ushu ya drivers pia nimefanikusha.

Nashukuru kwa kugusia tarehe maana bila hivyo usingesoma, maana program nyingi zilinigomea ila sasa zimekubali.

Ubarikiwe sana chief.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…