chumvichumvi
JF-Expert Member
- May 6, 2010
- 1,207
- 313
Nasubiria mkuu please usiache kuni tag"I know this gonna cost me my family,my life and my entire career, ."
Ukwel ni kwamba kanye amepitia mengi sana watu wanaona juu juu, mojawapo kubwa ni la loss ya mama yake, pia usikilize wimbo vizur wa through the wire
jamaa amepitia magumu mengi... na kuhusu kuhusisha na freemason ama iluminati, sio strong point sababu he is already in there, halaf watu wanaishia kusema tu freemason ama iluminati kuna kitu huwa wanafanya na wasanii weng wakubwa wa marekani wamefanya, nikipata wasaa ntawambia the reality, na baadhi wamewahi kukiri hadharani..lakin clip za video zao hua hazionyeshwi sana labda utafute mwenyewe ...unajua mtu kama brad pitt hua anafanya nini kila mwezi ili azidi kufanikiwa katika filamu? unajua why mtoto wa usher alikufa? Unajua why michael alienda solo kutoka kundi la jackson five,unajua alijiunga na nini na kivipi ilikuaje? unajua stor ya lil wayne vizuri? Why saiv anapata kifafa na ansema antaka kuacha muziki,
unajua beyonce ndo ameingia rasmi humo mnapopaita iluminati japo sio iluminati ni namna nyingine japo pia na yeye ameanz kufundishwa umasonia awe kama mumewe jay z ambae ana rank/level kubwa katika vyeo vya umasonia...mnaijua stor ya dmx japo kuna mtu kadokeza kidogo laki hio ni kidogo....anyway ntakuja kuwapa haya mambo mjue ukweli.
Kanye anaongea ukweli people r so blind to see. Wala sio kichaa. Na usitegemee atarudi vile utakavyo kama alitoka huko kwneye hiyo hospital yao atakuwa kama zombie tu or they may kill him kabisa. Asiongee tena mambo yaoHata ukimwangalia usoni unagundua jamaa kichwani panachemka, jamaa ni kichwa sana naamini huu ni upepo tu utapita na atarudi even stronger!
Watu hili hawataki kuliongelea kabisa wamekazania kuwa jamaa stress sijui kichaa. Hata media hata moja hazisemi kuhusu alichokiongea kabisa as if hakikuwepo na kuongea mambo sensitive kabisa. They own the media so hawawezi RUHUSU hata wadiscuss hiyo kituPamoja na historia ya matatizo yake, what about everything he's saying, are they relevant?
Kwanini usiamini he was his best friend au sababu Ni tajiri ndio hawezi kuwa nao??We unaamini aliposema Jay Z anao 'killers'?
Dave na Britney waliwafanya hivyo hivyo walivyotaka kuongea then huko hospital walijua walichowafanya wakatoka waoga kabisa hawasemi tena.Kanye ni mfano tu wa wasanii ambao wako under MK-Ultra mind control na hata hii skit ya yeye kuloose it hamna lolote waliona kwnye show kawaumbua wakubwa zake wakaona bora waseme kua ni kichaa in the mean time huko hospitali hatujui wanamfanya nn. Nakumbuka maneno ya Dave chapelle aliposema kua there is something wrong with hollywood. Kila msanii ana njia yake ya kudeal na his own deamons....mfano britney alijinyoa nywele,Kanye amerant kwnye stage badala ya kuperform. He just needs prayers.
Maskini?Maskini kanye
Are u a doctor? Kapiga nyimbo mbili vzri then akaongea ukweli. Then kushuka wamemuweka pingu wakamtia madawa huyo straight mpk mental institution .....walimpima SAA ngapi huko ukichaa. Au coz kawaongelea watu wao wazito kama mama Clinton,Jay z,Beyonce DJ Khalid, na hiyo TV yao MTVMost of these illuminat stories are fabricated, kanye has mental problems nothing else!
Naona wengi humu wanasema tatizo ni kwa sababu kampoteza mama yake ..kwani yeye Kanye ndio wa kwanza kufiwa na mama ?
Heee wewe umeguswa wapi asubuhi yote hii unakuja kama .......ni wapi nimesema asilie ? Aliyesema wote tumezaliwa na mama yake ni nani ?mmmmnh kwa hio asilie?kwani wote mlizaliwa na mama yake?uanaume ni kukubali udhaifu sometimes.