Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,863
- 141,437
Hivi nini kinaendelea?
ni mental issues au kuna mengine?
nimeona kuna watu wanahusisha na Illuminati....
nimeona clip ya DMX....
Kanye West ana tatizo gani hasa?
Paulo Sergio De Souz Nyani Ngabu
BAK
Inawezekana kabisa kuwa anasumbuliwa na matatizo ya kiakili na hata ya kihisia.
Kwa vile tu yeye ni nyota wa muziki, hiyo haimaanishi kwamba yuko tofauti sana na wengine.
Na yeye mwisho wa siku ni binadamu tu kama tulivyo binadamu wengine.
Halafu, kwa watu observant kama mimi, hilo la yeye kuwa 'volatile' hajalianza leo.
Tokea zamani yuko hivyo ila sasa ndo naona hiyo 'volatility' yake imeshika kasi.
Unakumbuka 2009 alipomvamia Taylor Swift na kumnyang'anya kipaza sauti na kuanza kutiririka kuhusu nani alistahili kushinda hiyo tuzo aliyoshinda Taylor?
Kwa hiyo mimi naamini kabisa kuwa huenda ana matatizo ya akili na kihisia ambayo bado hayajapatiwa ufumbuzi muafaka.
Kuhusu Illuminati, mi nadhani hizo ni hekaya za Abunuasi tu.
Hivi nini kinaendelea?
ni mental issues au kuna mengine?
nimeona kuna watu wanahusisha na Illuminati....
nimeona clip ya DMX....
Kanye West ana tatizo gani hasa?
Paulo Sergio De Souz Nyani Ngabu
BAK
Mimi nilimtazama live siku ile kuhusu Katrina...nilicheka sana siku ile...
kweli jamaa ana namna ya ku snap hivi....analipuka ghafla....
Ngabu unajua wi hiyo hiyo ndo Time walimuweka kwenye cover?
halafu ndo akamshambulia Bush...dah
Ndo maana nasema kuna strong possibility kuwa jamaa ana matatizo ya kiakili na kihisia.
Wanasema wau wote ambao unaweza kuwaita 'creative genius'
au wanaofanya kazi zinazo wataka kuwa 'creative sana' ni rahisi kwao kupata magonjwa ya akili..
nimesoma sehemu leo jamaa huko hospitali anazungumza habari za kuingia studio still..hadi mkewe
hataki watoto wamsogelee
Waza mboga nyumbani na xmas watoto watavaa nini cha tofauti, sio kanya magharibi atakusaidia nini?, from 10-0Hivi nini kinaendelea?
ni mental issues au kuna mengine?
nimeona kuna watu wanahusisha na Illuminati....
nimeona clip ya DMX....
Kanye West ana tatizo gani hasa?
Paulo Sergio De Souz Nyani Ngabu
BAK
I'm not sure on anything he's saying, but I don't think they have to be ignored because of him being 'lunatic'.We unaamini aliposema Jay Z anao 'killers'?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], kama namuona TID kwa mbaaali vile.Haya mambo acha tu. Pengine tunayoona kwa macho, ni kiini macho tu.
Mshkaji anapitia mengi sana tu...
Tehehehe kama, Nimevutiwa sana na pozi la mtangazaji, hasa pale baada ya kusema "George Bush doesn't care about black people"Oh yeah...miaka 11 iliyopita.
Tayari hata hapo alikuwa keshaanza kuonyesha 'volatility' yake.
Halafu baadaye alikuja kumwomba radhi rais Bush.
Kanye ni mfano tu wa wasanii ambao wako under MK-Ultra mind control na hata hii skit ya yeye kuloose it hamna lolote waliona kwnye show kawaumbua wakubwa zake wakaona bora waseme kua ni kichaa in the mean time huko hospitali hatujui wanamfanya nn. Nakumbuka maneno ya Dave chapelle aliposema kua there is something wrong with hollywood. Kila msanii ana njia yake ya kudeal na his own deamons....mfano britney alijinyoa nywele,Kanye amerant kwnye stage badala ya kuperform. He just needs prayers.