What's wrong with Jay Z's legs?

Beyonce shape yake mmhhhhh .......inavutia sana
 
Nasikiaga huyu jamaa ni businessman mwenye pesa chafu yaani bilionea,hata hafanani!


Unasikiaga? visit forbes magazine pdidy anautajiri wa 750m dollar while jay z ni 550m dollar.
 
Nasikiaga huyu jamaa ni businessman mwenye pesa chafu yaani bilionea,hata hafanani!
Ubilionea wake na miguu yake vina uhusiano gani mkuu?

Rapper pekee Bilionea ni Dr. Dre naye amezipata baada ya kuanzisha kampuni yake ya Beats na baadaye kupiga pesa ndefu.
 
Sio kwamba miguu yake ilikuwa imejazia supu, ila kutokana na kula chakula ya usiku sana sifongo imekauka?😉
 
Ok. It is about western and USA life. Ila mimi sipendi jinsi Beyonce anavyo kaa uchi uchi. Nimefuatilia picha zake nyingi ni kichefu chefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…