What's wrong TID?

Vipaji vinaangamia nguvu kazi inapotea watu wanaporomosha magorofa na kufanya matusi mtaani

Mkuu ktk biashara iliyoshindikana kutokomezwa duniani ni hiyo, wakubwa wana maslahi yao, hiyo ndiyo shotcut ya kuwa tajiri.
 
Hawa wasanii wanafanya kwa kuiga, akisikia Snoppy doggy dog anavuya wanaiga, hawajui ukishaingia humu kutoka ni ngumu.

Sawa na kula nyama ya binadamu hutakaa uache! They should stop imitating everything from abroad wanatakiwa kujitambua
 
Sawa na kula nyama ya binadamu hutakaa uache! They should stop imitating everything from abroad wanatakiwa kujitambua

Anapiga mizinga sana kinondoni, sasa hivi anauza alteeza yake 5m baada ya kuigonga gonga sana.
 
Tatizo kubwa kwa Tanzania unga unauzwa bei rahisi sana.
 
sijaelewa ... au sijui ni hiyo ngeli..? whats wrong TID .....

napita!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…