THE UNDESIPUTED.Hahahah hao hawakuwa watu mzee, unatakiwa upewe kichwa kimoja kinaitwa Agent Bavo. Akumwagie Round kick kadhaa kama za Boyka.
Nina uhakika ukitoka hospitali fujo zako zitakuwa zimeisha rasmi.
Hahaha hapana, siogopi kwa sababu ya jinsia ya dereva aendeshaye, bali huwa tu nina ile phobia ya jumla ya kutomuamini mtu aniendeshe...Vipi kuendeshwa na mwanamke? Unaogopa pia?
Wanaume wengi hamtuamini kwenye usukani.
Deal, Kasinde....just get ready to buckle up
I am sorry but Tonight you don't have to masturbate. Because if you do, you gonna hurt yourself.
Vampires, of courseAnha, what did you think?
Wapo kweli?Vampires, of course
Wapo, tena wanapenda kuacha alama shingoni kama ushahidi.Wapo kweli?
Sio kwenye stories tuu Chamoto?Wapo, tena wanapenda kuacha alama shingoni kama ushahidi.
Getting a hickey is a real thing.Sio kwenye stories tuu Chamoto?
Naviandika kwelikweliSasa ukilewa, huku jamiiforums hauandiki vituko? Pombe zikiisha ndio unagundua? Au unajiwekaga mbali na simu?
Hii ilinisibu kipindi nasoma, hostel zilikuwa ndani ya chuo lakini ilikuwa ni lazima nichelewe kipindi. Hata kama nikianza kujiandaa saa 11 alfajiri, kuchelewa palikuwa hapakwepeki.Kuchelewa kazini nakaa karibu kabisa na sehemu ya kazi ila dah mwaka wa 8 huu sijawahi kufika kazini mapema nimejitaidi nimeshindwa zikifika dk20 ndyo naoga nijiandae niende apo nipo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri sana
Kula vipande ni kufanyaje?1.Unywaji wa pombe kali
2. Kula vipande ( but to me isn't a bad thing)
3. Kuwa ant-social
4.kupenda kufuatilia mambo yasiyo na faida mfano udaku
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe unapenda udaku?Kula vipande ni kufanyaje?
Hapo kwenye udaku nimejikuta nacheka
Hapana sipendi udaku. Na sihangaikagi huko kabisa.