you are killing me bujibuji kwa hii joke, teh tehe hahahahaha!!!.......lol
kweli kabisa..
Tena kuna watu walikuwa wakiishi nyumba ya kupanga na walikuwa na watoto wawili,
mkubwa alikuwa na umri wa miaka minne, na mdogo alikuwa na umri wa miaka miwili.
Siku moja usiku wakati wa mchezo wa baba na mama, mchezo ukakolea utamu, manjonjo na malavidavi wakajisahau.
Na walikuwa na kawaida ya kulala kitanda kimoja na watoto wao.
Sasa mambo yaliponoga wakakipiga kitoto kile kidogo cha miaka miwili teke, kikaanguka huko chini,
wakasimamisha pambano kwa muda , wakazugazuga hapo na kukikibembeleza.
Baada ya kama dakika ishirini kupita wakaanza tena kulisakata lile gozi la mapenzi huku wakiamini fika kuwa watoto wameshalala fofofo,
kale katoto kenye umri wa miaka minne, kwa kumuonea huruma mdogo wake kakasema..
Wee jeni amka ujishike vizuri wameanza tena mchezo wao wasije wakakuangusha tena.
Kwa hiyo jamani kulala na watoto kutatuadhiri siku moja.