nimejikuta natungua kicheko cha nguvu kwa kweli, kwa usawa huu hilo sie wala hoi tutalisoma tuu huku, tutaishia kwenye virts nk nk nk.SIFA yake kubwa ni lazima uwe na Petrol station nyumbani
<br />Wote halijui hilo gari thats why mnasema hivyo! Kiukweli gari aina ya Hummer it is luxurious and much comfortable , it was developed from hummer H1 ambayo ali design kwa ajili ya vita, so ikaja hummer H2 na H3 ambazo zimekuwa much more advanced and zina nguvu kwa maana ya engine, displacement cc 4500 hadi cc 6000, pia it is so powerful and unique that it has no close subsitute, that makes hummer to be one of a kind, though kuna magari mengine yenye hizo qualities but there are little differences.
Wote halijui hilo gari thats why mnasema hivyo! Kiukweli gari aina ya Hummer it is luxurious and much comfortable , it was developed from hummer H1 ambayo ali design kwa ajili ya vita, so ikaja hummer H2 na H3 ambazo zimekuwa much more advanced and zina nguvu kwa maana ya engine, displacement cc 4500 hadi cc 6000, pia it is so powerful and unique that it has no close subsitute, that makes hummer to be one of a kind, though kuna magari mengine yenye hizo qualities but there are little differences.
2009 HUMMER H3 Price: $32,345.00-$42,085.00 |
2008 HUMMER H2 Price: $57,425.00-$57,470.00 |
2008 HUMMER H3 Price: $30,995.00-$39,560.00 |
SIFA yake kubwa ni lazima uwe na Petrol station nyumbani
Wote halijui hilo gari thats why mnasema hivyo! Kiukweli gari aina ya Hummer it is luxurious and much comfortable , it was developed from hummer H1 ambayo ali design kwa ajili ya vita, so ikaja hummer H2 na H3 ambazo zimekuwa much more advanced and zina nguvu kwa maana ya engine, displacement cc 4500 hadi cc 6000, pia it is so powerful and unique that it has no close subsitute, that makes hummer to be one of a kind, though kuna magari mengine yenye hizo qualities but there are little differences.
Nafikiri si luxurious tu lakin ni gari lenye nguvu sana mithili ya kifaru na lenye gharama kubwa. ndo mana mtu akiwa nalo watu wanamwangalia mara mbili-mbili.
Kumbe limepewa sifa tu. Hizo bei hazifikii hata za Land Cruiser Gx V8.