Ijuganyondo
Member
- Jan 13, 2011
- 62
- 1
WanaJF heshima yenu,katika harakati na pilikapilika za life nilikutana na quotation ya mtaalam mmoja yeye alisema eti"LOVE IS THE GAME WHERE BOTH PLAYERS CHEAT"! Je wanajf kuna ukweli wowote na hali halisi? Nawasilisha,