WhatApp and other android Apps into Apple IPad Air SUPPORT

TRACE

Senior Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
120
Reaction score
46
Habari wanajamvi.Najua hapa ni mahali ambapo watu wana uelewa wa kutosha.Naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kufanya ili niweze ku install WhatApp kwenye Apple IPad Air na kama kuna Apps nyingine za Android ambazo ziko poa kama ninaweza elekezwa nitashukuru.Natanguliza shukrani.
 
Kaka app huwa zinaanzia ios na kuja android baadae. Karibia kila app ya android ipo ios,
kuhusu whatsapp hawana version ya tablet
 
whatsapp on ios kwa ipods na ipads n mpaka jailbreaking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…