WHATAAPP only....Don't share your location with your friends on WhatsApp.

WHATAAPP only....Don't share your location with your friends on WhatsApp.

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
2,061
Reaction score
547
​

A group of researchers at the University of New Haven (UNH), recently taught themselves a lesson about the difference between liking something and trusting it. Their study was based on a WhatsApp.

WhatsApp is an online instant messaging service for phones and tablets that allows you to exchange messages without having to pay for SMS. The popularity and financial power of WhatsApp means that it handles a lot of personally identifiable information (PII) about its users, who in turn have to trust that the company does the right thing when it comes to guarding their privacy.

WhatsApp has made various privacy blunders in its history like using non-secret information to construct secret encryption keys and the two-time use of a one-time pad. One of the main security threat is that WhatsApp share location of its users which means that attackers who can sniff network traffic between your phone and Google's servers can pinpoint you as soon as you share your location with other WhatsApp users.
WhatsApp responded positively to the New Haveners' report, and has claimed that the flaw will be fixed in the next release of the software.
 
Mtu wa kawaida kama mimi sina siri ya kuficha.Hayo yanawahusu kina Gerry Slaa.
 
sasa kwangu waje wafuate nini? ningekuwa natembea hata na wake za watu labda lakini sasa mie mwenyewe mlevi tu watafuata nini kwangu, aaaghh ngoja niongeze chupi sorry chupa ya mnazi mie
 
haahaah!!

sasa kwangu waje wafuate nini? ningekuwa natembea hata na wake za watu labda lakini sasa mie mwenyewe mlevi tu watafuata nini kwangu, aaaghh ngoja niongeze chupi sorry chupa ya mnazi mie
 
Kwa huko mbele kwa wenzetu sawa, Kwa hapa bongo mi nikitaka kumtwanga C6 sinahaja ya kumping na kuhangaika... Bongo hakuna privacy wala anonymity.
 
Last edited by a moderator:
Mbona facebook wanakuja na ishu ya ku Trace popote uendapo !
 
Haya yanawasumbua huko majuu tu lakini kibongobongo hayatuhusu na hatuna habari nayo!
 
Hii inatuhusu sana. Fikir kama mdukuzi(hacker) akiweza kujua ulipo basi ujue muda si mrefu ataweza kudukua taarifa zako za miamala ya tigo-pesa,mpesa na mengine.

Unaweza ukadhan haikugusi moja kwa moja but matatizo kama hayo yasipofanyiwa kazi mapema kuna siku utaichukia na kuilaumu whatsup kwa kukusababishia hasara, au kukosa kuwasiliana .

Mie napongeza kwa walioona tatizo .
 
Eeehh!!! He he he, watu watavurumushwa gest hausi hadi basi.
 
Hii inatuhusu sana. Fikir kama mdukuzi(hacker) akiweza kujua ulipo basi ujue muda si mrefu ataweza kudukua taarifa zako za miamala ya tigo-pesa,mpesa na mengine.

Unaweza ukadhan haikugusi moja kwa moja but matatizo kama hayo yasipofanyiwa kazi mapema kuna siku utaichukia na kuilaumu whatsup kwa kukusababishia hasara, au kukosa kuwasiliana .

Mie napongeza kwa walioona tatizo .

Hacker aje ahangake na vijisenti vya mpesa na tigopesa!? Huyo atakuwa hacker kutoka nchi gani, na hacker hatumii mwanya mmoja tu kufanikisha mambo yake
 
Hacker aje ahangake na vijisenti vya mpesa na tigopesa!? Huyo atakuwa hacker kutoka nchi gani, na hacker hatumii mwanya mmoja tu kufanikisha mambo yake

Vijisent * 40 mil ya watz unaweza ukaona ni hela ndogo ila akikusanya hata senti moja tu Kutoka watu wakutosha. Jamaa atapata hela za kutosha ukizingatia password unaweza kuikisia wengi wameweka miaka yao ya kuzaliwa.

Umesema hacker hana njia moja tu kwa hio unakubaliana na mleta uzi kuwa ni muhimu hata ss watz kutambua faida na matatizo yanayoweza sababisha na programu tunazotumia. Kukitokea fault kweny whatsup ni wengi watakao pata usumbufu. Haijalishi uko t kz au kokote dunian
 
Nakubaliana na wewe lakini swali linakuja hacker atakayeiba hela zetu watanzania hizi za tigopesa na mpesa ni wakutoka nchi ipi!?
 
Ishu ya Hii ni Privacy ya location, hili halihusiani kabisa na suala la mtu kujua miamala yako ama kusoma taarifa za simu yako.

Ishu hapa ni Gaidi X anapo taka kumteka Mtu Y, so tumia mbinu hii, na anaweza kuping na kupata taarifa za mtu Y alipo kwa wakati husika.
 
Back
Top Bottom