Kukatika katikati kumewahi kunisaidia kupandisha morali yangu nikiwa nacheza mpira kwenye mechi muhimu,kwa kadri watu walivyokuwa wananicheka kwa sababu VIP yangu ilivyopanda juu basi mie nilidhani wananishangilia hivyo kuongeza kasi,chenga na mbwembwe za mpira hadi nilipostuliwa na team mate but ilinisaidia kufunga goli moja maridadi