khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,148
- 1,076
Gentlemen don't kiss and tell
Hamna bwana a good kisser ata atembee na wànawake 100 bado anazdi kuwa baddest!Aaahhh.. Sasa hapo unaleta utata.. Wanawake pia mna hisia tofauti. Sidhani kama kuna standard ya kiss.
Meaning unaweza kukutana na msichana huyu uka kiss akafeel unajua then ukakutana na mngine mka kiss akafeel kwamba hujui.
So how can you explain these discrepancies?
Ayooo! Uzwe mwisho msata! Kama hauamini basi shikamoo mzee!mmh kila la kher katika hiyo website yako, sie wengine tushazeeka tena tunawaachia vijana
Ahahahaha, nimecheeekaaa, sasa wengine wanakukiss macho wametoa kama bundi! YeleuuuwiAfu always romantic kisses uwa znafanywa macho yamefumba sasa unamkuta m2 katoa jicho kama anatoa roho inabd watu watafure vtabu vya kamasutra wanaelekeza how to kiss romantically.. '
Ahahahahaha, nimecheeeka mieee uuuwi!Aisee, tatizo kipindi nasoma, hizo ice cream hazikuwepo, nilichofanikiwa kunyonya ni maembe na matunda yanaitwa marisirisi. Itabidi nikutafute unipe darasa.
Yan unamfundisha njemba anaanza kuota mapembe anataka akatembeze mdomo mji mzima wa daslamHahahahaa labda analeta ulimi uliwe lol, ishu ya kujitoa kumfundisha mtu inakua ngumu kwa sababu watu wanaogopa kuumiza hisia za wenzi wao pamoja na confidence. Kissing can never be the same again especially kama mtu ni mzoefu na hajawahi kuambiwa ukweli.
Best, shemeji hajambo?! Yupoo au ndo kapelekwa Dodoma?!Mada hizi na hii hali ya hewaaa sio kabisaaa
Inaitwa KATEREROOOO! kitu Pfuuuuuuuuuuuu maji kuleeeeeee mtu hukuuuuuu!Hahahahaa dada zetu mnavumilia mengi na hapo lazima urudi kukumbushia game kwa x wako kama alikua ana kukojoza kama bomba la dawasco.
Ahahahaha you wish!Loading facts... soo umeamua kumwaga mchele in public Penny..! Thanks for everything im surely grateful kwa yote.
TWishen zipo me nafundisha dola 500 ila kuna dogo anatoa elfu 50 darasa la wiki 1Ohoo Sasa na wenye hatujawahi...au Kuna tuition tuende [emoji43][emoji43]
si ungemfundisha tuuNiliblock namba yake ndio ikawa baba jane bye bye
Oya tupe msaada basi
Ahahahaha sio kweli bro! Labda kama unatafuta kiki hapa kwa thread yangu!"Kiru"
"Yeleuuuwi"
"Chalii zangu"
"Che"
Manzi wenye kauli izo apo juu MARA NYINGI hua wanaupungufu wa maufundi kitandani. Samahani lakni!
Preach ot to the choir girlfriend!Lakini ukweli ni kwamna this's one of important parts when it comes to enjoying 'time alone' for lovers.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]"Kiru"
"Yeleuuuwi"
"Chalii zangu"
"Che"
Manzi wenye kauli izo apo juu MARA NYINGI hua wanaupungufu wa maufundi kitandani. Samahani lakni!
Hali ya maisha ngumu kufundisha sa hivi tunachajsi ungemfundisha tuu
haukufanya poa bhana
Ahaaa itabidi mana wengine apa tutatia aibu first Day [emoji41][emoji41]Ahahahaha you wish!
TWishen zipo me nafundisha dola 500 ila kuna dogo anatoa elfu 50 darasa la wiki 1
Karibu utupe commentHahaha kumekuchaaaaaaaaa!
hahahaHali ya maisha ngumu kufundisha sa hivi tunachaj
Tukiwapa free class mnaota mapembe
Ina maana we ni bikira?!Ahaaa itabidi mana wengine apa tutatia aibu first Day [emoji41][emoji41]
sisi kupata kitchen pati kwa makungwi tunalipia laki 2 mpaka laki 150!hahaha
sasa ambao hatujui tufanyaje jaman
hamtutendei haki
Yeah that'sIna maana we ni bikira?!