Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,832
- 23,643
Nikigeuka soo many eyes will glance on me!
Wewe pita mbele yangu , ukishanivuka geuka nyuma tutazamane! usimame mkabala nami , as lon as wewe ni mfupi namie tall , watakaokua nyuma hawatakuona.
Haya moja!
Mbili !
Tatu !
Vuka .
Hahahahaa!
Kwani mchezo ni uo tu?
Si ucheze tu hata kinyuki kipenya-penya!!!!!
CHAGUA shansarie kuwa miss chit chat 2013..
kura yako ni muhimu sana..
Hivi kuna shindano la umiss kaka mkubwa? Binafsi huwa sipiti sana huku...
Ndio mkubwa wangu! kuna shindano hapa linaratibiwa na Arusha one!
Chukua kura yangu