ngina rema
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 215
- 81
tnx 4ur views
the event has not yet happened but it was about to happen, so i will tell what i saw, and more than that what if i protect my friend and then he comes to repeat the same shameful action!
Hapo hamna rafiki, Ningemchapa risasi alipo! then no ushahidi maisha yaendelee,
Watu wa hivo hawahitajiki kbs ktkt jamii yetu.
Unaelezea ulichokiona mengine unaiachia mahakama. sasa urafiki gani wa kutaka kum do kwanguvu my sister?
Nakumbuka issue moja ya kitaa jamaa alikuwa na swahiba wake ambaye alitoka familia duni akamkaribisha kwao wakakaa nae kama mtoto wao. Sasa huyu brother mgeni ambaye amelelewa pale akiwa anakaribia kuingia chuo akajaribu kumbaka dada wa huyu kijana hapo nyumbani kwao yule msichana mbio hadi kwa mama ofisini. Mama akaja na hasira akamtimua huyu kijana masikini ambaye walimchukua toka shule ya msingi wakamlea kama mtoto wao. Lakini huyu mshikaji wake ambaye alimleta kwao akawa anamuombea msamaha day in day out wazazi mwanzo wakao hawataki hadi mwisho wazazi wakarudisha moyo wakampokea tena. Sasa hivi huyu swahiba aliyejaribu kubaka ni advocate mkubwa tu hapa mjini na yule rafiki yake anaendesha kampuni yake kubwa. Aisee maisha bana
Rafiki bado tu hujajifunza kuandika mwandiko wa kiJF...last time tulijaribu kukuomba uwe waandika vizuri tukitegemea utabadilika lakini naona ndio kwanza bata mkanyaga tope kavamia mkeka wa swala, yaani full foot prints.
For di good n for di bad the family should come first,na sikwamba unamwonea rafiki yako na sikwamba ww ndo unamfunga saidia mahakama ifanye kazi yake.kama alitaka kumbaka dada yako who knws sembuse huweza baka hata mwanao
Sent from my i Phone 5 using JamiiForu
Rafiki bado tu hujajifunza kuandika mwandiko wa kiJF...last time tulijaribu kukuomba uwe waandika vizuri tukitegemea utabadilika lakini naona ndio kwanza bata mkanyaga tope kavamia mkeka wa swala, yaani full foot prints.
the event has not yet happened but it was about to happen, so i will tell what i saw, and more than that what if i protect my friend and then he comes to repeat the same shameful action!
kwakweli wanipa raha naona umetafuta kasoro kwenye front page umekosa sasa ikabidi utafute kwenye comments.....,,hmmm aya bana
If he made an attempt to rape your sister why does he need a protection? I thought your friendship would have been called out on the very day you witnessed his inhuman behaviour against your sister! My true friend should consider my sister as his sister as well. No need for such kind of a friend. Stand against him at the court.
Rafiki wa kweli hueleza ukweli...pamoja na kuwa na thread yenye mashiko lakini mwandiko wako bi shosti wawazuia wengi kuchangia maana si watu wote ni wa kizazi kipya.
Hivi unajua ili kuelewa ulichoandika imenibidi kutumia Gugo ya fesibuku
Btw naomba tu unitonye, hiyo raha niliyokupa umeipenda au niongeze tena kidogo??
Sioni ugumu wowote,its obvious i will testify against the rapist