King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,603
- 68,512
Anaosha nywele saloon
Mkuu wewe ndio umeharibu kabisa bora wa kwanza....
Kwahio Mkuu tungeweza kusema..
Unadhani anafanya nini ?,
What do you think she is doing ? (au sababu alishatenda na hili tukio ni kwenye picha tungeweza kuuliza)
Unadhani alikuwa anafanya nini ?
What do you think she was doing ? (nadhani ndio perfect kabisa as tukio limeshatendeka na hii sio live wala sio streaming)
ni hayo tu mkuu...
Mbuzi mbona umekosea kithungu!!!!!!!
What U think she's doing? nadhani usahihi ni What do u think is she doing? au vipi?
Nadhani anafurahia MMU!!!!!!!!!!!
kuna sayari mpya imegunduliwa nafikiri ndio yuko hukoooooooooooo!
Na hii inafaa? what is she doing?Mkuu wewe ndio umeharibu kabisa bora wa kwanza....
Kwahio Mkuu tungeweza kusema..
Unadhani anafanya nini ?,
What do you think she is doing ? (au sababu alishatenda na hili tukio ni kwenye picha tungeweza kuuliza)
Unadhani alikuwa anafanya nini ?
What do you think she was doing ? (nadhani ndio perfect kabisa as tukio limeshatendeka na hii sio live wala sio streaming)
ni hayo tu mkuu...
Katoka mudaHii itasababisha Rachel Mashishanga atoke JF
Mkuu wewe ndio umeharibu kabisa bora wa kwanza....
Kwahio Mkuu tungeweza kusema..
Unadhani anafanya nini ?,
What do you think she is doing ? (au sababu alishatenda na hili tukio ni kwenye picha tungeweza kuuliza)
Unadhani alikuwa anafanya nini ?
What do you think she was doing ? (nadhani ndio perfect kabisa as tukio limeshatendeka na hii sio live wala sio streaming)
ni hayo tu mkuu...
Anaota anakula muwa.. ash.ash.ash.ash....