What Trump tax report could mean for his campaign

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,427

Gazeti maarufu la 'Times' laonyesha Mgombea alidanganya kupata hasara ya $916 million na ikapelekea kukwepa kodi kinyume cha sheria

==========
Washington (CNN)Hillary Clinton's campaign Saturday night seized on a New York Times report about Donald Trump's 1995 tax records, in which the Times showed he declared a $916 million loss that could have allowed him to legally skip paying federal income taxes for years.

The revelations threatened to put the controversy over Trump's refusal to follow recent precedent and release his tax returns at the center of the presidential campaign less than 40 days before the election, after a week in which the Republican nominee has struggled to bounce back from a debate in which most analysts and scientifically conducted polls scored Clinton as the winner.

His campaign vehemently pushed back on the Clinton campaign's effort to turn the report into an "October surprise" moment, saying Trump has a "fiduciary responsibility" as a businessman to pay no more tax than legally required. It also charged that the report proved that the Times and the "establishment media" are merely an arm of the Clinton campaign.

The report contains the first detailed tax documents about Trump's financial empire that have been publicly reported. It was immediately picked up by Clinton's campaign, which has sought to make Trump's refusal to release his tax returns a major issue of the campaign.

Calling it a "bombshell report," the Clinton campaign said the Times' article "reveals the colossal nature of Donald Trump's past business failures and just how long he may have avoided paying any federal income taxes whatsoever."
 
Trump na serikali ya ccm ni sawa tu wote wakwepa kodi.

swissme
 
Trump could be a crude politician but he is a potential presidential material
 
Hillary kibaraka wa Mabwana wakubwa! Bado ulimwengu unahitaji strong leadership ya marekani.. Hillary is not fit hata maadili ya kuwa rais hana
 
Trump alisha jisemea yeye ana cheza na sheria na huwa ana hakikisha analipa kodi kidogo kadri awezavyo na anasema kodi za wamarekani zina tumiwa vibaya na wanasiasa.
Kama ameweza kutumia sheria kujifaidisha mi namuona ni mjanja tuu
 
Hillary kibaraka wa Mabwana wakubwa! Bado ulimwengu unahitaji strong leadership ya marekani.. Hillary is not fit hata maadili ya kuwa rais hana

Mkuu, Wamerikani wakifanya makosa ya kumpa ushindi mama huyu watajuta sana!

Wakubwa wamejipanga vilivyo kumwendesha puta, ndiyo wanatumia nguvu nyingi kumunadi, kutoa opinion polls za usanii tu na vitimbwi chungu nzima wana dramatise kila alisemalo TRUMP kwa kumu-demonise mbele ya wapiga kura.

Sijawahi kushuhudia kampeini chafu nchini Merikani kama za mwaka huu - hizi sio dalili nzuri, wanao taka kulazimisha ushindi wana ajenda gani ya siri kuhusu usalama Duniani - wataibua ushinda wa silaha usio wa lazima kuturudisha enzi za vita baridi au kibaya zaidi kufumuka vita ya tatu ya Dunia kwa bahati mbaya i.e miscalculation na hii itakuja kutokea sio utani.

Narudia kusema Hillary ndiye atakuwa Rais kwa kwanza Duniani kuzusha vita ya tatu ya Dunia na asije akajidanganya kwamba Taifa lake litasalimika - hawatasalimika na wao watafutwa kutoka uso wa Dunia - kuna baadhi ya Mataifa yenye uwezo wa kutekeleza hilo wakichikozwa au kushambuliwa kwa kushitikiza, akiwa madarakani hilo anapaswa kuliwekea maanani.
 
Mkuu yote haya unayatoa wapi?.....usitangulize hisia kwa mambo ambayo yako wazi....hivi hillary na trump ni nan ambaye yupo arrongant? Deal za marekani na Iran uliskia trump alicho kisema?
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mkuu yote haya unayatoa wapi?.....usitangulize hisia kwa mambo ambayo yako wazi....hivi hillary na trump ni nan ambaye yupo arrongant? Deal za marekani na Iran uliskia trump alicho kisema?

Mkuu we leta hoja zako mbadala, haya mambo ya kutaka kuwafanya watu ni wajinga au hawajui walisemalo sio fresh hata kidogo.

Sijakurupuka kutoa maoni yangu kuhusu Foreign Policy alizinazo Hillary kuhusu Mataifa ya Syria, Urusi, Uchina nk - mwanamke huyo ni hatari sana wewe ujui tu!!

Wakati akiwa Waziri wa mambo ya nje aliwahi kutoa memo za siri na kuzisambaza kwenye ofisi za Balozi za Merikani nchi za nje, memo ilihusu mpango wake na baadhi ya Majenerali wa Jeshi Merikani kuishambulia Urusi kwa kuishitukiza!! Sijui nani alivujisha siri hiyo mpango huo ulisitishwa - mama huyo akili zake sio nzuri hata kidogo na ni muongo wa kutupwa, mpenda pesa kama nini mtu au kampuni yeyote mwenye uwezo mkubwa kifedha anaweza kumu manipulate kirahisi, ndiyo maana anawasena vibaya watu masikini wakati akiwa kwenye mikutano ya ndani ya kuchangia fedha kutoka kwa watu matajili na wenye viwanda kwa ajili ya kugharimia kampeini zaje, anawasema vibaya watu maskini hata ambao ni wa chama chake - hana simile hata kidogo, akisha watukana ikajulikana anakimbilia kuomba msamaha!!

Tukirudi kwenye mada, hivi kwa akili za kawaida unaweza kujitia kuishambulia nchi kama Urusi kwa kuishitukiza alafu wewe ukategemea Taifa unalo ongoza litabaki salama? Sasa hilo ndilo tatizo la Viongozi kama Hillary ambao hawana upeo wa kutafakali mambo kiundani - she is good kujieleza mambo ya mitaani kutokana na taluuma yake ya uwana-sheria lakini linapo kuja suala ya Geopolitic yuko naive kweli kweli ukazi wake White House na Serikalini notwithstanding!

Nani ambaye ajui debacle ya nchini Libya - Hillary anahusika moja kwa moja kuondoa pumzi ya Gadaffi, na baadae matatizo yaliyo mpata Balozi wa Merikani nchini Libya - hivi sasa nini kinaendelea katika Taifa lile, nchi imesambaratika kabisa vurugu kila kona.

Haya tuje nchini Syria nani ali Engineer mpago wa kuwapa waasi silaha na kuanzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria, nchi ambayo uchumi wake ulikuwa mzuri na ukiwekea maanani kilimo chenye tija na viwanda vingi katika mji wa Allepo, hivi sasa nchi nzima imekuwa vurugu tupu - kinyume na propaganda za MSM ukweli ni kwamba raia wa Syria walio wengi wanakubali sana Uongozi wa Asaad, nchi za magharibi zinazungumzia mambo mengine kabisa ya kutunga kuhusu Asaad.

Watu wangapi wanajua ukweli kuhusu sababu za nchi za magharibi ku finance vita nchini Syria - ukweli ni kwamba Asaad alipo wakatalia Wamerikani na Qatar kujenga bomba la gesi kupitia Syria kwenda Ulaya ndiyo wakala njama za kupigia debe regime change kwa kuwapa mafunzo na silaha waasi ili waanzishe vita - wapo radhi kuua watu kwa sababu ya maslahi ya bomba la gesi, alafu mtu ujidanganye kwamba group ya akina Hillary ni watu wa kawaida kweli!

Hillary anasema akiwa madarakani kitu cha kwanza ni kutoa amri ya kuzuia ndege yoyote kuruka katika anga la Syria - does she know hiyo ina implication gani? Inamaanisha amejipanga apigane vita na Urusi moja kwa moja - narudia kusema huyu mama na washauri wake wote ni naive kweli kweli, bado wanaendelea kuishi kwenye Dream land - wasipo kuwa makini mgogoro wa Syria ndio utakuwa chanzo cha WW3, swali ni, je, Hillary yuko Tayari kubeba msalaba wa kusababisha kuangamia kwa Dunia nzima likiwemo Taifa lake?
 
Hillary kibaraka wa Mabwana wakubwa! Bado ulimwengu unahitaji strong leadership ya marekani.. Hillary is not fit hata maadili ya kuwa rais hana

Na hiyo strong leadership ya Trump iko wapi? Ni utapeli na ukwepaji kodi? Ni biashara zilizofeli? Tumesema toka siku nyingi kwamba huyo jamaa na bomu kabisa. Tumemsoma toka siku nyingi. Yote yanayotokea na kusemwa sasa yanadhihirisha tu hadharani ambayo wengi wameyajua kwa siku nyingi.
 
Hii inaitwa crash and burn na Trump akitoboa hii i'll start believing in miracles, uchaguzi umeisha and Hillary Clinton is the next President of United States na kama mtu anataka bet i'm ready ukishinda nakupa 2000$ mimi nikishinda nipe 1000$ only..any takers?
 
Mkuu Koba atashinda tu kwa ku-rig votes - wako determined kutekeleza mbinu hizo come rain or shine!!

Kama waliweza kumchak
achua Sanders watashidwaje TRUMP - yaani gang la Hillary linachukulia uchaguzi huu kwa kufa na kupona, mkono wa Mungu tu ndiyo utawafanya Wamerikani kupiga kura kwa kutumia busara zaidi bila kujali propaganda za MSM, wakumbuke Establishment has no interest na maslahi ya raia wa kawaida nchini mwao.
 
Nilipokuwa huko miezi michache iliyopita, nilishuhudia umati wa watu waliomshabikia Sanders. Lakini wote ninaofahamiana nao walisema Trump is very bad joke to their system. Na hata baada ya Sanders kuondolewa, bado watu hawakutaka kusikia habari za Trump. Nami namkumbuka huyu jamaa Trump toka miaka ya 80 na 90. He is just bad news. Na akishindwa siyo sababu ya rigging, believe me. Mwangalie tu alivyoboronga kwenye debate, na sikiliza scandals zinazofumuka. Atashindwa fair and square.
Mkuu Koba atashinda tu kwa ku-rig votes - wako determined kutekeleza mbinu hizo come rain or shine!!

Kama waliweza kumchak
achua Sanders watashidwaje TRUMP - yaani gang la Hillary linachukulia uchaguzi huu kwa kufa na kupona, mkono wa Mungu tu ndiyo utawafanya Wamerikani kupiga kura kwa kutumia busara zaidi bila kujali propaganda za MSM, wakumbuke Establishment has no interest na maslahi ya raia wa kawaida nchini mwao.
 
Mkuu we leta hoja zako mbadala, haya mambo ya kutaka kuwafanya watu ni wajinga au hawajui walisemalo sio fresh hata kidogo.

Sijakurupuka kutoa maoni yangu kuhusu Foreign Policy alizinazo Hillary kuhusu Mataifa ya Syria, Urusi, Uchina nk - mwanamke huyo ni hatari sana wewe ujui tu!!

Wakati akiwa Waziri wa mambo ya nje aliwahi kutoa memo za siri na kuzisambaza kwenye ofisi za Balozi za Merikani nchi za nje, memo ilihusu mpango wake na baadhi ya Majenerali wa Jeshi Merikani kuishambulia Urusi kwa kuishitukiza!! Sijui nani alivujisha siri hiyo mpango huo ulisitishwa - mama huyo akili zake sio nzuri hata kidogo na ni muongo wa kutupwa, mpenda pesa kama nini mtu au kampuni yeyote mwenye uwezo mkubwa kifedha anaweza kumu manipulate kirahisi, ndiyo maana anawasena vibaya watu masikini wakati akiwa kwenye mikutano ya ndani ya kuchangia fedha kutoka kwa watu matajili na wenye viwanda kwa ajili ya kugharimia kampeini zaje, anawasema vibaya watu maskini hata ambao ni wa chama chake - hana simile hata kidogo, akisha watukana ikajulikana anakimbilia kuomba msamaha!!

Tukirudi kwenye mada, hivi kwa akili za kawaida unaweza kujitia kuishambulia nchi kama Urusi kwa kuishitukiza alafu wewe ukategemea Taifa unalo ongoza litabaki salama? Sasa hilo ndilo tatizo la Viongozi kama Hillary ambao hawana upeo wa kutafakali mambo kiundani - she is good kujieleza mambo ya mitaani kutokana na taluuma yake ya uwana-sheria lakini linapo kuja suala ya Geopolitic yuko naive kweli kweli ukazi wake White House na Serikalini notwithstanding!

Nani ambaye ajui debacle ya nchini Libya - Hillary anahusika moja kwa moja kuondoa pumzi ya Gadaffi, na baadae matatizo yaliyo mpata Balozi wa Merikani nchini Libya - hivi sasa nini kinaendelea katika Taifa lile, nchi imesambaratika kabisa vurugu kila kona.

Haya tuje nchini Syria nani ali Engineer mpago wa kuwapa waasi silaha na kuanzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria, nchi ambayo uchumi wake ulikuwa mzuri na ukiwekea maanani kilimo chenye tija na viwanda vingi katika mji wa Allepo, hivi sasa nchi nzima imekuwa vurugu tupu - kinyume na propaganda za MSM ukweli ni kwamba raia wa Syria walio wengi wanakubali sana Uongozi wa Asaad, nchi za magharibi zinazungumzia mambo mengine kabisa ya kutunga kuhusu Asaad.

Watu wangapi wanajua ukweli kuhusu sababu za nchi za magharibi ku finance vita nchini Syria - ukweli ni kwamba Asaad alipo wakatalia Wamerikani na Qatar kujenga bomba la gesi kupitia Syria kwenda Ulaya ndiyo wakala njama za kupigia debe regime change kwa kuwapa mafunzo na silaha waasi ili waanzishe vita - wapo radhi kuua watu kwa sababu ya maslahi ya bomba la gesi, alafu mtu ujidanganye kwamba group ya akina Hillary ni watu wa kawaida kweli!

Hillary anasema akiwa madarakani kitu cha kwanza ni kutoa amri ya kuzuia ndege yoyote kuruka katika anga la Syria - does she know hiyo ina implication gani? Inamaanisha amejipanga apigane vita na Urusi moja kwa moja - narudia kusema huyu mama na washauri wake wote ni naive kweli kweli, bado wanaendelea kuishi kwenye Dream land - wasipo kuwa makini mgogoro wa Syria ndio utakuwa chanzo cha WW3, swali ni, je, Hillary yuko Tayari kubeba msalaba wa kusababisha kuangamia kwa Dunia nzima likiwemo Taifa lake?
Yaani Mkuu unaamini Hillary anaweza tu kuamua piga Russia na ikapigwa. Us wana instution imara sana. Hakuna Rais akafanya maamuzi tu kama unavyodhani.
 
Hillary kibaraka wa Mabwana wakubwa! Bado ulimwengu unahitaji strong leadership ya marekani.. Hillary is not fit hata maadili ya kuwa rais hana

Fafanua mambo haya ili sisi wa nanyumbu tuelewe:

Kwamba Hilary ni kibaraka,
Kuwa not fit,
Kuwa hanamadili
 
Nilipokuwa huko miezi michache iliyopita, nilishuhudia umati wa watu waliomshabikia Sanders. Lakini wote ninaofahamiana nao walisema Trump is very bad joke to their system. Na hata baada ya Sanders kuondolewa, bado watu hawakutaka kusikia habari za Trump. Nami namkumbuka huyu jamaa Trump toka miaka ya 80 na 90. He is just bad news. Na akishindwa siyo sababu ya rigging, believe me. Mwangalie tu alivyoboronga kwenye debate, na sikiliza scandals zinazofumuka. Atashindwa fair and square.

Ni kweli TRUMP ana tatizo la kujieleza i.e is not a good orator lakini binafsi naona hilo si tatizo sana, kwa nini watu hawajiulizi pamoja na mapungufu yake, je,aliwezaje kuwabwaga chini wakina Jeb Bush na wenzake, Jeb for instance alikwa na backing kubwa finacially pamoja na amaharufu wa familia ya Bush - pamonja na mbinu kubwa zilizo tumika ku-demonise TRUMP lakini alihibuka mshindi eventually -WHY??

Mimi naona vyombo vya habari ndivyo vina dramatise umaharufu wa Hillary kwa kuchakachua opinion polls wakiwa na kengo la kuzuga akili za wapiga kura, chukulia %ges za CNN in favor ya Hillary baada ya mdahalo zilikuwa highly inflated lakini watu independet walio conduct polls over the internet walileta picha tofauti kabisa! Opinion through internet ndizo zinaonyesha nini kina jili kwenye grassroot ni hilo ndilo litampa ushindi TRUMP sio Media za MS.

Group ya akina Hillary wakumbuke kwamba wapiga kura wa kawaida ambao ni wengi wanafikiria vitu vingine kabisa namely kuiondoa Establishment iliyo dumu kwenye Uongozi wa Merikani miaka nenda rudi na kusababisha machafuko/vita kila kona ya Dunia, opinion polls kupitia internet imedhilisha hilo, sasa sijui kama Hillary na gruop kaje wanazichukulia seriously au la?

Ukweli unabaki kwamba Raia wa kawaida nchini Merikani wanamuona/chukulia Trump ndiye mwenye uwezo wa ku-reverse trend HATARISHI Duniani including ugaidi ambao Obama ameulea for Geopolitics reasons, ajali usalama wa Taifa lake wala raia wake yupo yupo tu kazi kulahumu Mataifa mengine kwa mapungufu yake ya kiongozi, Obama hana nai thabiti ya kutokomeza ugaidi - udhaifu wake na Chama chake katika suala la kutokomeza ugaidi, wanataja vile vile kurinda Establishment kwa nguvu zao zote ndiyo maana wanampiga vita TRUMP kila kona ili ashindwe Urais waendeleze agenda zao hatarishi.

Tukiwa wakweli, mtu akifatilia track records za wagombea Urais hawa, nawambiine Trump ataonekana ni SAINT.
 
Yaani Mkuu unaamini Hillary anaweza tu kuamua piga Russia na ikapigwa. Us wana instution imara sana. Hakuna Rais akafanya maamuzi tu kama unavyodhani.

Mkuu Rais na washsuri wake wa karibu wakihamua kufanya jambo wana bypass hizo institution with impunity, usisahau hilo, we unafikiri memo aliyo kuwa amezisambaza Hillary ubalozini zilipitia kwenye relevant institution - hapana.

Cha muhimu tuendelee kumuomba Mungu, lakini dalili sio nzuri hata kidogo i.e uwezekano wa kufumuka WW3 chini ya Uongozi wa Hillary ni mkubwa mno.
 
Huyo Hillary Clinton na hata Trump wote ni wapenda vita uhakika nsichofahamu sijui ni nani kamzidi mwenzake.
 
Back
Top Bottom