What the @#$#@ is going on?


Kuitwa foreign funds haina maana kuwa siyo hela zetu na mimi nadhani wametumia hilo neno kwa makusudi. Foreign funds zinaweza kuwa "loans, au grants na kama ni loans ina maana zinaongeza deni la taifa na tutazilipa hapo baadaye kwa kutumia pesa zetu. Hivyo kimsingi foreign funds zinazotokana na mikopo ni fedha zetu pia. Kuna haja ya kujua waliposema foreign funds walimaaninsha nini.
 
Ukiangalia jedwali namba 5415 pesa iliyotengwa Urambo ni kubwa kuliko iliyotengwa kwa ajili ya watoto wa inchi nzima inamaana watoto wa Urambo ni wengi kuliko watoto wa nchi nzima ukiwakusanya pamoja?!!!
Mzee 6 nae ana vitu vyake ambavyo vina hojika sana coz kama sikosei huu ni muda ambao yeye alikuwa speaker na mama waziri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…