What the hell? Miaka mitano Katibu, miaka 20 mwenyekiti

Hapo hakuna chama bali kikundi cha wahuni kutoka kanda ya kaskazini wakiongozi na Mbowe...

Kila siku huwa wanazungumzia nafasi ya mwanamke katika uongozi ila wao wamekuwa wa kwanza kuwakandamiza hao wanawake katika nafasi za juu za uongozi...

Kuliko kutawaliwa na Chadema bora tuendelee na CCM yetu chini ya Dr John Pombe Magufuli...

Mungu Ibariki Tanzania...

Mungu Mubariki Mh Raisi...

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ni pimbi, tuambie CCM kuna wanawake wangapi kwenye safu ya juu. Mnafeli wapi nyie mbogamboga?
 
Mambo mengine sio ya kubeza au kuigaiga tu kutoka chama kingine bila kufikiria vizuri. Kwanini Katibu Mkuu anapigwa chini (anastaafishwa) every 5 years ila Mwenyekiti anaendelea kudunda tu kwa miongo miwili au zaidi? Kwanini Jina la Katibu Mkuu linachomolewa kutoka mfukoni mwa Mwenyekiti? Kwanini nafasi hiyo isiachwe wazi, watu wagombee na wanachama wapige kura?
 
What the hell, miaka 4 watu kwa mamia wameuawa Tanzania
Nimemsikia Mbowe akiongea kwa jazba na kuonesha anamaanisha anachosema kuwa kwa sasa hawata mvumilia kiongozi yoyote kukaa madarakani kwa miaka mingi wakati hana record nzuri ya utendani na wanataka kuanza kufuatiliwa ili kumeitain serious credited work and periodically status .

Mbowe amesema hakuna mtu atakaa sana madarakani sana eti miaka mitano inatosha nikajiuliza vipi yeye au yeye haimuhusu hii

Ndani ya miaka 15 katatibu watatu mwenyekiti mmoja ratio ya mitano mitano


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nembe ameaanza siasa kabla ya muda (kampeini)

State agent
1. Makosa ya Membe ni yepi mkuu ... unaweza kutudokeza

2. A. Unafazimu kanuni au utamaduni wa ccm wa nani ndio mwenyekiti wa ccm pekee? Bila kupingwa wala kuhojiwa?

B. Umewahi sikia tangu enzi za Mwl Nyerere ushindani ndani ya ccm nafasi ya mwenyeki? Kwanini ? Kama ndio tupe majina matatu katika awamu tatu tofauti walioshindania uenyekiti wa ccm Taifa

3. Demokrasia ipi inaruhusu mtu kupita bila kupingwa ama kupigiwa kura?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujidanganya mwenyew
Uchaguzi wa mwenyekiti wa CCM ni 2022 na hakuna mtu aliyekatazwa kuchukua fomu na kugombania, ni wewe mwenye unajipima ukiona unatosha unagombania. Ukiona mtu anakuwa pekee yake ni ishara tosha wengine wamejipima na kuona hawatoshi na ndio kinachotokea CCM.

CCM kinaongozwa na katiba(sheria mama) na katiba ya CCM haisemi popote Rais lazima awe mwenyekiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na pale mkishindwa mnafuta uchaguzi au co?rejea znz ukwl n hili katba chakavu ndilo linalowafanya kutamba mpk sasa kinyume cha hapo mngeshasahaulika
sio kweli kwamba anabughudhiwa ,chama chochote chenye maadili hakipo tayari kuona Chama kinasemwa vibaya hivyo lazima kitawahoji wanaofanya hivyo. CCM kusemwa vibaya na upinzani ni jambo la kawaida lakini kusemwa vibaya na wanaCCM ni jambo zito.

Membe kuitwa si kubughudhiwa kwa sababu wanaopima mwenendo Wa kimaadili Wa chama ni katiba na miongozo mbalimbali chini ya kamati maalumu na kamati hiyo imejiridhisha pasina na shaka kwamba kanuni Fulani za kimaadili zimekiukwa hivyo hatuna budi kuwahoji.

Mwenyekiti Wa CCM kutokuwa na mshindani hilo si jambo la kuilaumu CCM Bali ni kujilaumu wenyewe wanaotamani kuwa wenyeviti na hawataki kushindana. Katiba ya CCM inatoa muongozo Wa kumpata mwenyekiti Wa CCM na haijatamka mahali popote nafasi ya uenyekiti haitashindaniwa. Wengine wanashindwa kushindana kwa sababu wanaona anayechukua fomu anatosha.

kupita bila kupingwa ni jambo la kawaida sana kama wagombea wengine wanaamua kujitoa na kujitoa kwa wengine maana yake ni kukubali kwamba yule mwingine anatosha.

Demokrasia ni pana sana na Lincoln alisema Democracy is a government of people( ya watu), for the people( kwa ajili ya watu) and by the people ( na watu) na hii ndio demokrasia. CCM haijawahi kuingia madarakani kwa mapinduzi, damu au uasi kwa maana hiyo imechaguliwa na watu, CCM inaongoza nchi kufuata katiba na sheria kwa hiyo ni ya watu na CCM inafanya iliyoahidi kwenye kampeni na Sera za kitaifa na kimaitaifa hivyo ni kwa ajili ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Membe anabughudhiwa ccm?

Mbona mwenyekiti hana mshindani ccm?

Dhana ya mtu kupita bila kupingwa/kupigiwa kura ccm?

Hiyo ndio demokrasia mwana-ccm?
Hakuna watu wasiojitambua kama wale wanaojifananisha na CCM
Kimsingi upinzani upo ili kuondoa MAPUNGUFU ya chama tawala.
Kama hamuwezi kujitofautisha na CCM hakuna haja ya kuwepo upinzani kwani HAKUNA MAGEUZI yaani maboresho TARAJIWA. Kwa hiyo ukisikia mtu anasema mbona CCM hivi au vile basi huyo ni mjinga asiyejua dhima ya upinzani Nchini.. kwani, kama upinzani wanaudhaifu sawa na CCM kumbe kuna haja gani ya kuwapa madaraka na kufanya mageuzi au maana ya mageuzi ni nini. OPPOSITION was meant to give better option and not merely face changes.
Wengi wameichoka, lakini CCM bado wapo madarakani kwa sababu upinzani wameshindwa kuthibitisha kwa matendo yao kwamba wao ni better option.
Na pindi wakikosea badala ya kukiri na kujirekebisha wanaanza mbona... mbona... mbona..
Please wajibikeni buana mtaishia kulalamika kuibiwa kumbe bado haitoshi.
Nyambaf kabisa.... Yaani mke anachepuka kwa sababu mme hanithi anakuja kwako.. kumbe na wewe hadithi .. anauliza VIP wewe unasema mbona mumeo wa naye alikuwa hanith, njoo kwangu nikuoe mimi..
Hilo ndio jibu kweli...!!??
Na huyo mke unadhani atahamia kwako??
Shame on you
 
Hakuna watu wasiojitambua kama wale wanaojifananisha na CCM
Kimsingi upinzani upo ili kuondoa MAPUNGUFU ya chama tawala.
Kama hamuwezi kujitofautisha na CCM hakuna haja ya kuwepo upinzani kwani HAKUNA MAGEUZI yaani maboresho TARAJIWA. Kwa hiyo ukisikia mtu anasema mbona CCM hivi au vile basi huyo ni mjinga asiyejua dhima ya upinzani Nchini.. kwani, kama upinzani wanaudhaifu sawa na CCM kumbe kuna haja gani ya kuwapa madaraka na kufanya mageuzi au maana ya mageuzi ni nini. OPPOSITION was meant to give better option and not merely face changes.
Wengi wameichoka, lakini CCM bado wapo madarakani kwa sababu upinzani wameshindwa kuthibitisha kwa matendo yao kwamba wao ni better option.
Na pindi wakikosea badala ya kukiri na kujirekebisha wanaanza mbona... mbona... mbona..
Please wajibikeni buana mtaishia kulalamika kuibiwa kumbe bado haitoshi.
Nyambaf kabisa.... Yaani mke anaacha mme kwa sababu hanithi anakuja kwako.. kumbe na wewe hadithi .. anauliza VIP wewe unasema mbona mumeo wa kwanza naye alikuwa hanith..
Hilo ndio jibu kweli...!!??
Shame on you

Ukiwa huna references

Huna starting point

Huna comparison

Huna basics

Nisawa na kichaa asielewa
1. anatoka wapi
2. Yupo wapi
3. Anaelekea wapi
4. Anataka nini
 
Back
Top Bottom