What the hell? Miaka mitano Katibu, miaka 20 mwenyekiti

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Nimemsikia Mbowe akiongea kwa jazba na kuonesha anamaanisha anachosema kuwa kwa sasa hawata mvumilia kiongozi yoyote kukaa madarakani kwa miaka mingi wakati hana record nzuri ya utendani na wanataka kuanza kufuatiliwa ili kumeitain serious credited work and periodically status .

Mbowe amesema hakuna mtu atakaa sana madarakani sana eti miaka mitano inatosha nikajiuliza vipi yeye au yeye haimuhusu hii

Ndani ya miaka 15 katatibu watatu mwenyekiti mmoja ratio ya mitano mitano

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hakuna chama bali kikundi cha wahuni kutoka kanda ya kaskazini wakiongozi na Mbowe...

Kila siku huwa wanazungumzia nafasi ya mwanamke katika uongozi ila wao wamekuwa wa kwanza kuwakandamiza hao wanawake katika nafasi za juu za uongozi...

Kuliko kutawaliwa na Chadema bora tuendelee na CCM yetu chini ya Dr John Pombe Magufuli...

Mungu Ibariki Tanzania...

Mungu Mubariki Mh Raisi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAMA CCM MNA DEMOKRASI MRUHUSUNI MEMBE AGOMBEE UENYEKITI NA MAGUFULI MWAKA 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi wa mwenyekiti wa CCM ni 2022 na hakuna mtu aliyekatazwa kuchukua fomu na kugombania, ni wewe mwenye unajipima ukiona unatosha unagombania. Ukiona mtu anakuwa pekee yake ni ishara tosha wengine wamejipima na kuona hawatoshi na ndio kinachotokea CCM.

CCM kinaongozwa na katiba(sheria mama) na katiba ya CCM haisemi popote Rais lazima awe mwenyekiti
 
Hapo hakuna chama bali kikundi cha wahuni kutoka kanda ya kaskazini wakiongozi na Mbowe...

Kila siku huwa wanazungumzia nafasi ya mwanamke katika uongozi ila wao wamekuwa wa kwanza kuwakandamiza hao wanawake katika nafasi za juu za uongozi...

Kuliko kutawaliwa na Chadema bora tuendelee na CCM yetu chini ya Dr John Pombe Magufuli...

Mungu Ibariki Tanzania...

Mungu Mubariki Mh Raisi...

Sent using Jamii Forums mobile app

Mapungufu yao ndio mazuri kwenu I think ulitakiwa kufurahi

Nyie katika chama chenu uongozi mkuu wa chama mwanamke ni nani?
 
Uchaguzi wa mwenyekiti wa CCM ni 2022 na hakuna mtu aliyekatazwa kuchukua fomu na kugombania, ni wewe mwenye unajipima ukiona unatosha unagombania. Ukiona mtu anakuwa pekee yake ni ishara tosha wengine wamejipima na kuona hawatoshi na ndio kinachotokea CCM.

CCM kinaongozwa na katiba(sheria mama) na katiba ya CCM haisemi popote Rais lazima awe mwenyekiti

Kujipima iko ccm tu na sio sehemu nyingine
 
Nimemsikia Mbowe akiongea kwa jazba na kuonesha anamaanisha anachosema kuwa kwa sasa hawata mvumilia kiongozi yoyote kukaa madarakani kwa miaka mingi wakati hana record nzuri ya utendani na wanataka kuanza kufuatiliwa ili kumeitain serious credited work and periodically status .

Mbowe amesema hakuna mtu atakaa sana madarakani sana eti miaka mitano inatosha nikajiuliza vipi yeye au yeye haimuhusu hii

Ndani ya miaka 15 katatibu watatu mwenyekiti mmoja ratio ya mitano mitano

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapotosha wajinga wakuamini. We kwani huelewi kuwa m/kiti huchaguliwa na katibu hupendezwa na m/kiti? Mwenyekiti hajiweki yeye madarakani walaumu wanaomuamini. Hata hivo we ccm hilo linahusuje. Kama Mbowe hafai si ndio ccm mshangilie? Mbona mnaonesha hamjafurahia, mnakwama wapi?
 
Tuletee jina LA mwanamke kwenye ngazi hizo toka ccm
Hapo hakuna chama bali kikundi cha wahuni kutoka kanda ya kaskazini wakiongozi na Mbowe...

Kila siku huwa wanazungumzia nafasi ya mwanamke katika uongozi ila wao wamekuwa wa kwanza kuwakandamiza hao wanawake katika nafasi za juu za uongozi...

Kuliko kutawaliwa na Chadema bora tuendelee na CCM yetu chini ya Dr John Pombe Magufuli...

Mungu Ibariki Tanzania...

Mungu Mubariki Mh Raisi...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asipogombea nani atamchagua ,kugombea inaonekana anautaka huo uenyekiti

State agent
Unapotosha wajinga wakuamini. We kwani huelewi kuwa m/kiti huchaguliwa na katibu hupendezwa na m/kiti? Mwenyekiti hajiweki yeye madarakani walaumu wanaomuamini. Hata hivo we ccm hilo linahusuje. Kama Mbowe hafai si ndio ccm mshangilie? Mbona mnaonesha hamjafurahia, mnakwama wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ulitaka mwenyekiti awe Mama yako au?

Kuna mambo yanachekesha sana hapa Tanzania, Hasa kwa mtu mzima kila wakati kumuwaza Mbowe wakati hajui kesho watoto wake wataishi vipi

Kuna wakati huwa yale mapambio yakiisha unakutana na watu wamechoka toka kwenye mapambio wanaomba msaada wa kukopeshwa, hatari sana
Nimemsikia Mbowe akiongea kwa jazba na kuonesha anamaanisha anachosema kuwa kwa sasa hawata mvumilia kiongozi yoyote kukaa madarakani kwa miaka mingi wakati hana record nzuri ya utendani na wanataka kuanza kufuatiliwa ili kumeitain serious credited work and periodically status .

Mbowe amesema hakuna mtu atakaa sana madarakani sana eti miaka mitano inatosha nikajiuliza vipi yeye au yeye haimuhusu hii

Ndani ya miaka 15 katatibu watatu mwenyekiti mmoja ratio ya mitano mitano

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What about CCM 50+ in power?!

Back
Top Bottom