What the hell? Miaka mitano Katibu, miaka 20 mwenyekiti

What the hell? Miaka mitano Katibu, miaka 20 mwenyekiti

Kilichotekea mlimani city siku ile watanzania watakikumbuka maisha yao yote na kuona umuhimu wa CCM katika kuheshimu demokrasia ya kweli na sio hilo dubwasha la wazungu wanalolitumia wapinzani

Mbona Membe anabughudhiwa ccm?

Mbona mwenyekiti hana mshindani ccm?

Dhana ya mtu kupita bila kupingwa/kupigiwa kura ccm?

Hiyo ndio demokrasia mwana-ccm?
 
Wewe ni kiazi mbatata kwelikweli mnapopinga anayofanya rais mlitaka afanye mamako au mmeo

Umejibu hoja kwa akili za mmeo mbowe maana nyote hamna akili ya kujadili mada ya mtoa post

State agent
Sasa ulitaka mwenyekiti awe Mama yako au?

Kuna mambo yanachekesha sana hapa Tanzania, Hasa kwa mtu mzima kila wakati kumuwaza Mbowe wakati hajui kesho watoto wake wataishi vipi

Kuna wakati huwa yale mapambio yakiisha unakutana na watu wamechoka toka kwenye mapambio wanaomba msaada wa kukopeshwa, hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan kiufupi siasa na vyama vyao ni miradinya watu. Hakuna cha CHADEMA wala CCM au ACT, wote ni magenge ya walanguzi tu.
Wananchi hatuna pa kukimbilia,...unless otherwise atokee mzalendo wa kweli taifa litasonga ndani ya miaka miwili tu.
 
Nembe ameyataka mwenyewe alichokoza nyuki acha yamkute huko chadomo hambugudhiani

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app

Jibu sio kuweka vituko👇

Mbona Membe anabughudhiwa ccm?

Mbona mwenyekiti hana mshindani ccm?

Dhana ya mtu kupita bila kupingwa/kupigiwa kura ccm?

Hiyo ndio demokrasia mwana-ccm?
 
Uliwahiona neno demokrasia kwenye nembo au andiko lolote la demokrasia

State agent
Jibu sio kuweka vituko[emoji116]

Mbona Membe anabughudhiwa ccm?

Mbona mwenyekiti hana mshindani ccm?

Dhana ya mtu kupita bila kupingwa/kupigiwa kura ccm?

Hiyo ndio demokrasia mwana-ccm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki chama hata babako anakiogopa maana kinawaongoza wewe na ukoo wako wote

State agent
Jenga hoja acha ujinga, heshima nini?

Nipamoja nakuheshimu
1. Mawazo ya wengi..... demokrasia

2. Kufuata katiba

3. Kuheshimu michango ya wenzako kwa kujibu hoja kwa akili na weledi badala ya mizaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepangiwa kwenda kung'oa bendera wapi?
Hapo hakuna chama bali kikundi cha wahuni kutoka kanda ya kaskazini wakiongozi na Mbowe...

Kila siku huwa wanazungumzia nafasi ya mwanamke katika uongozi ila wao wamekuwa wa kwanza kuwakandamiza hao wanawake katika nafasi za juu za uongozi...

Kuliko kutawaliwa na Chadema bora tuendelee na CCM yetu chini ya Dr John Pombe Magufuli...

Mungu Ibariki Tanzania...

Mungu Mubariki Mh Raisi...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikia Mbowe akiongea kwa jazba na kuonesha anamaanisha anachosema kuwa kwa sasa hawata mvumilia kiongozi yoyote kukaa madarakani kwa miaka mingi wakati hana record nzuri ya utendani na wanataka kuanza kufuatiliwa ili kumeitain serious credited work and periodically status .

Mbowe amesema hakuna mtu atakaa sana madarakani sana eti miaka mitano inatosha nikajiuliza vipi yeye au yeye haimuhusu hii

Ndani ya miaka 15 katatibu watatu mwenyekiti mmoja ratio ya mitano mitano

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau makamu wenyeviti..
 
Hiki chama hata babako anakiogopa maana kinawaongoza wewe na ukoo wako wote

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani ndio umejibu sasa .....????

Mbona Membe anabughudhiwa ccm?

Mbona mwenyekiti hana mshindani ccm?

Dhana ya mtu kupita bila kupingwa/kupigiwa kura ccm?

Hiyo ndio demokrasia mwana-ccm?
 
Mbona Membe anabughudhiwa ccm?

Mbona mwenyekiti hana mshindani ccm?

Dhana ya mtu kupita bila kupingwa/kupigiwa kura ccm?

Hiyo ndio demokrasia mwana-ccm?
sio kweli kwamba anabughudhiwa ,chama chochote chenye maadili hakipo tayari kuona Chama kinasemwa vibaya hivyo lazima kitawahoji wanaofanya hivyo. CCM kusemwa vibaya na upinzani ni jambo la kawaida lakini kusemwa vibaya na wanaCCM ni jambo zito.

Membe kuitwa si kubughudhiwa kwa sababu wanaopima mwenendo Wa kimaadili Wa chama ni katiba na miongozo mbalimbali chini ya kamati maalumu na kamati hiyo imejiridhisha pasina na shaka kwamba kanuni Fulani za kimaadili zimekiukwa hivyo hatuna budi kuwahoji.

Mwenyekiti Wa CCM kutokuwa na mshindani hilo si jambo la kuilaumu CCM Bali ni kujilaumu wenyewe wanaotamani kuwa wenyeviti na hawataki kushindana. Katiba ya CCM inatoa muongozo Wa kumpata mwenyekiti Wa CCM na haijatamka mahali popote nafasi ya uenyekiti haitashindaniwa. Wengine wanashindwa kushindana kwa sababu wanaona anayechukua fomu anatosha.

kupita bila kupingwa ni jambo la kawaida sana kama wagombea wengine wanaamua kujitoa na kujitoa kwa wengine maana yake ni kukubali kwamba yule mwingine anatosha.

Demokrasia ni pana sana na Lincoln alisema Democracy is a government of people( ya watu), for the people( kwa ajili ya watu) and by the people ( na watu) na hii ndio demokrasia. CCM haijawahi kuingia madarakani kwa mapinduzi, damu au uasi kwa maana hiyo imechaguliwa na watu, CCM inaongoza nchi kufuata katiba na sheria kwa hiyo ni ya watu na CCM inafanya iliyoahidi kwenye kampeni na Sera za kitaifa na kimaitaifa hivyo ni kwa ajili ya watu.
 
1. Makosa ya Membe ni yepi mkuu ... unaweza kutudokeza

2. A. Unafazimu kanuni au utamaduni wa ccm wa nani ndio mwenyekiti wa ccm pekee? Bila kupingwa wala kuhojiwa?

B. Umewahi sikia tangu enzi za Mwl Nyerere ushindani ndani ya ccm nafasi ya mwenyeki? Kwanini ? Kama ndio tupe majina matatu katika awamu tatu tofauti walioshindania uenyekiti wa ccm Taifa

3. Demokrasia ipi inaruhusu mtu kupita bila kupingwa ama kupigiwa kura?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom