What the hell is this thing they just discovered on Mars?

fredmlay

JF-Expert Member
Apr 30, 2008
1,849
388
"This structure is 700′ x 150′, and is colored white with blue and red stripes against the red Martian soil. This is not a rock or mountain. It is a manufactured structure. This is not something that I created, this is something that is currently on Google Mars. NASA won't talk to me about it. I've sent them a few emails, and no reply. Go see for yourself. The coordinates are: 71 49'19.73″N 29 33'06.53″W." David Martines

<br><br><br><br>
 
Last edited by a moderator:
ukiona masayari mengine yanalipuka na kuwaka ujue dunia kama nayo ni sayari, hatuko salama, lakini msiwe na hofu, NATO wapo ha ha ha haa!!! ni ‘umoja wa kujihami’ wa nchi za ulaya dhidi ya ............., mkimuomba mungu ombeni awaondolee hofu ya kifo, sio awabatilishie kifo wakati ukifika.
 

huyu mbabe anaweza kuwa na jibu sahihi!
 

Attachments

  • stephen-hawking1.jpeg
    stephen-hawking1.jpeg
    16 KB · Views: 52
mkuu mie nashindwa kuliona hilo picha kama vipi liweke tena ili na mimi niweze kuchangia kwa uhakika na kuamini bila mashaka kama hawa watemi wanatudanganya
 
LOH!! google wameblock hizo cordnates..ukisearch google mars inasema not found.... i think the image is real not shoped

If there was nothing to this why has it been blocked? et jamaani!!


inaoneka kama ni kitu kilichotengenezwa ila so far binadamu hwajasema kama wametengeneza...ila sijui labda USA walishafika na kuweka base yao ila hawataki watu wajue ndio maana nasa imekanusha na coordinate kuondolewa google mars


station-mars.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom