Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,292
- 144,572
Ndivyo walivyo hao modsNyie mods wa siku hizi sijui mkoje tu!
Hamna kabisa competence.
Sasa mmezituta posts za watu kwa minajili ipi?
Katiba ni maneno tu kama yale yaliyopo kwenye khanga.kiapo nacho ni maneno,mara ngapi umeongea hiki ukafanya kingine?dunia Ina unafiki sana,
mtu anaweza kuapa kwa kutumia katiba na kuahidi kuilinda na kuitetea, baada ya muda mfupi, akaanza kuiita ni "kijitabu" .
mtu anaweza sema anailinda nchi mpaka kufa, ila wakati huo huo "anaigawa" kwa wajomba zake.
yaani ...
Aisedunia Ina unafiki sana,
mtu anaweza kuapa kwa kutumia katiba na kuahidi kuilinda na kuitetea, baada ya muda mfupi, akaanza kuiita ni "kijitabu" .
mtu anaweza sema anailinda nchi mpaka kufa, ila wakati huo huo "anaigawa" kwa wajomba zake.
yaani ...
Waapie kwa kutumia matumbo yao tu sahvi 😄Katiba ni maneno tu kama yale yaliyopo kwenye khanga.kiapo nacho ni maneno,mara ngapi umeongea hiki ukafanya kingine?
Kiufupi Demokrasia na marupurupu yake kama haya ya katiba, freedom of speech sijui katiba yamepitwa na wakati, kama vile tawala za kifalme zilipofikia mwisho, zikaja serikali za kidemokrasia, naamini kutakuja mfumo mwingine wa uongozi wa watu.
Huu wa demokrasia inaonekana umetushinda maana kila serikali duniani ina chembechembe za udhalimu dhidi ya wananchi wanawaongoza..kama unabisha nitajie serikali yoyote nitakutajia ubaya wake. Tunatofautiana uafadhali tu
wewe ni mzanzibar sisi bara hatujui neno husdaMamamamaaeee, haters haki ya nani kazi mnayo. Mama anawapigia mbungi la maana Huku akiwa Hana hata habari na nyie mnabaki mnaweweseka tu. Mtaendelea kushindwa vibaya kwa uwezo wa Mungu......chuki na husda havikuja viwavushe.
Asiye na mtu ana watu.
stupidMamamamaaeee, haters haki ya nani kazi mnayo. Mama anawapigia mbungi la maana Huku akiwa Hana hata habari na nyie mnabaki mnaweweseka tu. Mtaendelea kushindwa vibaya kwa uwezo wa Mungu......chuki na husda havitokuja viwavushe.
Asiye na mtu ana Mungu.
Hawezi kuwa sawa kwa alivyo amua kuishi na kuzungukwa na watu wa hovyo kama Bashite, karudisha mzee muongo na mnafiki kama Kabudi huku usalamabwa raia akiukabidhi kwa watu kama Wambura na Kingai wenye tuhuma za uhalifu nk.Nyani Ngabu nafikiri amepoteza kujiamini kama Amiri jeshi mkuu, psychological ukimuangalia hana Ari na Nguvu kama mkuu wa majeshi.
Deep inside, ukimuangalia Rais Samia yupo down sana hadi anatia huruma.
Arudi kwenye mstari atakuwa sawa, wote in on way or another tunapitia magumu.
Akae kwenye siti yake, alianza vizuri ila sasa ameyumba sana na ametoka kwenye reli. Bado ana muda wa kujirekebisha kama akisikiliza sauti yake ya ndani na watu walio nje ya cycle yake . Amezungukwa na wengi wanaomdanganya na kumpotosha ili aharibikiwe.
Mods ni waoga sana!Nyie mods wa siku hizi sijui mkoje tu!
Hamna kabisa competence.
Sasa mmezifuta posts za watu kwa minajili ipi?