Beat ni NOUN pigo kwa kiswahili
Instrumental ni chombo kwa kiswahili
Sasa tuje kwenye matumizi ya kimuziki maneno hayo mawili
Beat inaweza kuwa pigo 1 tu au zaidi yaani mlio 1 wa ala za musiki au ngoma nk
Instrumental ni mpangialio wa vyombo wa kutengezeza beat mfano, ngoma, kinanda, gitaa nk
Nivuavyo mimi