What should I do?

Kwa mtizamo wangu you already have somewhere to start.
Zingatia kwamba u need not just friends, but make a room for professional friendship ties according to what you offer (nimeona umesema una products una uza/uziwa na awatu).
Kazi ikianza urafiki ukapatikana ndani ya kazi, guarantee ya kudumu ni kubwa sana na likely unaweza kutana na watu mnao share interests so u will never miss a bond and issues za kujadili most of the time hence kuwa keep close.

Tofaut na ile kuwa tu na urafik ambapo hata cha kuUngumza unatafutiza.Noo.

NITARUDI
 
Asante
 
Kwanza unatakiwa kujua hili, unaweza kuwa na watu wengi lakini wasiwe na msaada kwako...
_______

Pia njia mojawapo ya kupata mafanikio katika maisha ni kujitahidi kutengeneza marafiki wapya, bila kuangalia status zao...

Kupitia Marafiki wapya utapata mawazo mapya. Na Njia kubwa kwa sasa ya kuwapata hao ni kupitia mitandao ya Kijamii...

Natolea mfano Twitter: Maelezo kwa ufupi...
Kunakuaga na ToT Bonanza watumiaji wengi wa Twitter wanakutana kila mmoja akionyesha Biashara anayoifanya na kutengeneza connections na watu mbali mbali...

Pia kama jana baadhi walikutana Mlimani Park na walikuja wataalam wa UTT Amis wakatoa semina kuhusu uwekezaji kwao. Baada ya pale watu wakatambulishana kwa Biashara wanazozifanya pia kubadilishana mawazo pamoja na kutengeneza connections mpya...
_______

Usiwe mtu wa kujifungia ndani, toka changamana na watu unaweza kupata Marafiki wapya kupitia Seminar mbalimbali zinazohusu vijana (ujasiriamali, biashara n.k) na vikundi kama wengine walivyosema huko juu Vijana Kanisani...
 
zamani? ipi hiyo ?

msalimie sana Lenie mwambie mie sijambo
Back in 2018,2019,2020 huko
Nilikuwa naringa 🀣🀣
Najikuta siwezi jimix na watu πŸ˜‚πŸ˜‚
Najiona miss indoor
Nilikuwa napata watu/ marafiki nashindwa kuwakeep
2021. Nikaanza kutoka kwenye ile zone, nikaacha kuwa categorize watu, kunata kukaniisha. nina hakika miaka niliyokuwa nayo 2020 ndiyo anayo Miss macho now. Akatae

Aiii now nina watu
Ambao hata nisipowapigia wao watanipigia
Siwezi kaa siku nzima sijapigiwa

Na kuna wale wanaweza jileta wawe friends
Kumbe wanakuja kukujua mimacho ni nani
Uwe makini 🀣🀣🀣 Ms eyes
 
Mimi mbona Sina sio muongeaji kiivo lakin nikikutana na mtu maramoja Huwa simpi nafas ya kujutia kunifahamu jifunze ukarimu na unyenyekevu
Facial expression unapokutana na watu
Onawatu wote sawa na wew, salimia watu Kwa furaha hata km huwafahamu,usijiupgrade Kwa kiwango kikubwa sana jua tu mipaka Yako
All the best kipenz
 
Hii paragraph ya mwisho tunakemea mapepo yashindwe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…