Hapo 90 bado hata sijafika huko, naelewa kuwa na watu wengi sio issue ila inasaidia wakati mwengine kupata connection. Huwa nawasiliana na familia yangu tu🙁.Watu 90?? Mbona wengi sana
Kama unao 50 kwenye maisha yako wanatosha sana...hata hivyo kujuana sana sio issue wala nini,kwanza unajiepusha na mengi
Kuhusu kutopigiwa nayo mbona fresh tu...wewe huwa unawapigia lakini?
Boyfriend hapana, wanani heartbreak sana nakuwa sina hata amani ya kuwa kwenye mahusiano.Tupo wengi wenye maisha aina hiyo ila hapo kwenye simu hapana,, huna hat boyfriend?
Kuzungukwa na watu wengi inafariji hasa ukiwa katika mafanikio kinyume na hapo utajua waliokuzunguka hawakuwa watu ila wanafiki bora peke yako,,
Endapo ukihitaji sana shiriki shughuli za kijamii utapata marafiki wanafiki mpaka utawakwepa
Hapo 90 bado hata sijafika huko, naelewa kuwa na watu wengi sio issue ila inasaidia wakati mwengine kupata connection. Huwa nawasiliana na familia yangu tu🙁.
itabidi tu ujiunge na zile choir, kamati za vijanaNaenda, ila huwa ibada ikiisha tu mimi huyo nanyoosha moja kwa moja nyumbani
Hawa watoto wa mama mkwe hawajui wanachokitaka,, navyojua wenye hulka kama yako huwa wengi ni waaminifu hawana mambo mengi hawana midomo wala ule unaitwa ufeministBoyfriend hapana, wanani heartbreak sana nakuwa sina hata amani ya kuwa kwenye mahusiano.
Naomba niwe rafiki yako.Tupo wengi wenye maisha aina hiyo ila hapo kwenye simu hapana,, huna hat boyfriend?
Kuzungukwa na watu wengi inafariji hasa ukiwa katika mafanikio kinyume na hapo utajua waliokuzunguka hawakuwa watu ila wanafiki bora peke yako,,
Endapo ukihitaji sana shiriki shughuli za kijamii utapata marafiki wanafiki mpaka utawakwepa
Dear kama unataka kupigiwa simu weka no tu hapa jf mbona utawablock mwenyewe