Kila mvua ikinyesha Nairobi, the city exposes how bad the drainage system is. Maji yanajaa kwa barabara, estates zinafurika, na mitaro mingi imeziba au haipo kabisa. Instead of water flowing away, inabaki kila mahali na kufanya maisha kuwa hatari kwa wakazi. Kila mwaka tunashuhudia watu wakibebwa na maji au kupoteza maisha kwa sababu ya floods ambazo zingezuilika kama drainage system ingekuwa nzuri. Nairobi deserves better planning na proper drainage, si kila mvua iwe disaster.