Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,758
- 128,542
Khaaa! Haya na wewe nani kakuita huku?Mambo ya wanawake haya wewe unakimbilia
#Mtanililebifundonilimeanza. 🤣
Khaaa! Haya na wewe nani kakuita huku?Mambo ya wanawake haya wewe unakimbilia
Yaani ulivosema "Heavy Flow" basi nikawaza ile flow ambayo ni heavy, af nzito yaani.Uliwaza nini mkuu?
😹😹😹😹Massive rainfall
#TusilifanyiehapapanamambomazitoKhaaa! Haya na wewe nani kakuita huku?
#Mtanililebifundonilimeanza. 🤣
Kumbe ni wewe?Nyoo nakula mara moja daily!
Ndio maana wewe ni kibonge kilo 70 umekuwa GoliathWe si umeniambia nipunguze kula au?
62 inatosha bongeKumbe natakiwa niwe na kilo 20😅
Kwa kweyi. 🤣#Tusilifanyiehapapanamambomazito