Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 6,451
- 15,845
Why?Too bad asee!
Eti pesa za kutosha! Ila watuπdah ! umenikatia tamaaaa kiais hikii πππ
kila mtu si ana kiwango chake cha pesa za kutoshaa, hata kama buku 10 ππEti pesa za kutosha! Ila watuπ
Lonely haitakiwi!Why?
Pc iwe ime nyooka, oya sitaki kusemeshwaπHizi zote hapa
View attachment 3574898
aah na RX580 8G video card juu, games zote si chini ya 60fpsPc iwe ime nyooka, oya sitaki kusemeshwaπ
Kaka ukifa, nita rithi yale mafuta ya Chaputa na hiyo pc πaah na RX580 8G video card juu, games zote si chini ya 60fps
Sasa mimi ndiyo kitu kinachonipa furahaLonely haitakiwi!
ππππMnanitenga sijui kwanini π
Kaka ndugu yetu matonya YUPO KOLOKORONI MOMBASA SHIMO LA TEWA.