The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
mambo ya ndoa hayo mimi nina aleji nayo
nitaolewa tena soonKama unaweza Bebii, bora usiolewe. Narudia tena ...KAMA UNAWEZA...
nitaolewa tena soon
ngoja nitafute mchumba sasanenda huko halafu uje utupe uzoefu wako
ngoja nitafute mchumba sasa
Najua ni wengi sana wako katika hali kama hii lakini hawasemi kwa kuhofia wakiacha ndoa zao jamii itawaelewa vibaya, ni kitu gani kinachokufanya uendelee kukaa kwenye ndoa ya namna hiyo????
Tf kwa kweli udhalilishaji wa aina hiyo uko mwingi sana, eti inasemekana wanawake wengi hawavumilii wanaume wao wanapo cheat ila kupigwa huwa wanavumilia, nina dda angu aliteswa ni mweupe half cast alikuwa anapigwa mpaka anakuwa wa purple mwili mzima, anabakwwa na mumewe, hakuna aliyeweza kumtoa pale kwenye mateso, tena ukimkuta na hali hiyo anakwambia kadondoka bafuni, mara mlangoni kwenye ngazi, ila watoto wake walikuwa wanatuambia, hakuna ushauri wa kuondoka alioupokea, mpaka kuna siku akanipigia simu niko mahala fulani nimehamia sina jiko wala sufuria wala nguo
kwenda pale nikaingia kapanga nyumba upande analia hapo ndipo alipoamua kuondoka, mwenyewe bila kulazimishwa na mtu,sasa hivi yuko happy na maisha yake na watoto wake anasema sijui ni nini alikuwa anang'ang'ania pale
na nawapangia mistaritangaza wazi kuwa unasearch na utaona watakavyokuja ila lazima uweke vigezo na masharti kuzingatiwa
na nawapangia mistari
nitaolewa tena soon
tf weweeeee? Unataka nilogwe humu?tf hapo juu anatafuta na yeye so unaweza kutuma application
Rocky, nitavumilia yoooote lakini sio kupigwa mpaka kuumizwa kiasi cha kushindwa hata kutembea, kwa kweli hapo tu siweziGaga haya ndio maisha ya ndoa nyingi na ndo maana nasema kuta nne z anyumba zinaficha mengi sana