Ziwa victoria shughuli za uvuvi,kuwa karibu na Uganda kupitia bukoba bidhaa za huko zipo chini so biashara ni nzur,kuwa karibu na Kenya so business done,uwepo wa hospital ya bugando so kuna mchanganyiko wa watu kutoka nchi na mikoa jirani,vivutio kama sanane island na historia za ma chief wa kale,ukubwa wa eneo hvyo kuna population kubwa inayoongeza mzunguko wa pesa,uwepo wa vyuo na vyuo vikuu..kuwa karib na miji kama geita na shinyanga ambapo dhahabu huchimbwa..wenyej wake ni wakarimu sana ..yaani sababu zipo zaid ya million moja