asrams
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 4,798
- 2,657
Kung fu hustle...yule mama ni noumer! 3. Id iots na sapoot ya kihind
Kung fu hustle nI nooma, yule fundi charahani anaevaa ringi mikononi NOmaa!
Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
Kung fu hustle...yule mama ni noumer! 3. Id iots na sapoot ya kihind
Saving Private Ryan na No country for old men acha tu mazee!!!
tuambiane wanajamvi muvi ipi huisahau na unaikubali mno,kwangu mimi naikubali sana DISTRICT 13,RUSH HOUR 3,HITMAN,VIVA RIVA,SHERLOCK HOLMES,KUNG.FU HUSTLE,UNDISPUTED,tupia na zako hapa
Better life for all by Jakaya Mrisho Kikwete of course.
Nathani unahitaji matibabu au kuombewa maana unakoelekea siko...
Kuthani ndiyo nini? Anayehitaji kuombewa ima ni maiti au kichaa lakini si mtu mwelevu kama mimi. Kwa ulivyoandika inaonekana hata shule huna hivyo kuondoa ujinga na ujuha wako ningeshauri uende shule. Hii itakusaidia kujua mambo mbali mbali na kuepukana na mawazo mgando.
Kwa jinsi ulivyojibu, I am serious unahitaji matibabu, nimegundua ww ni Muislam tafuta Sheikh akusomee dua...
Ile ya Ulimboka na Kova kiukweli it will last in my memory...
We chhizi kweli na unaonekana kuwachukia waislam. Kwani uislam ni ugonjwa? Umejuaje kuwa mimi ni muislam? Je ukijulishwa kuwa mimi si muislam utajiona hovyo kiasi gani? Je uongo wako ni wa kujifunza au kuzaliwa? Je mawazo ya mtu yanawakilisha dini yake hasa jambo linapoongelewa linapokuwa si la kidini? Nikisema wewe si mjinga tu bali mgonjwa nitakosea? Je unaamini kuwa ***** wako nao ni mchango kwenye jamvi? Je uko serious kweli? Je unajua maana ya kweli ya neno serious? Hebu nieleze unalijuaje? Je kweli kipofu anaweza kumuongoza mwenye darubini kama mimi? Nenda katibiwe au kuombewa wewe ambaye huwezi kujiombea. Je una mpango wa kuwa mtabiri au mganga wa kienyeji? Je huwa unahisi aibu hasa pale unapojivua nguo kiakili kama unavyofanya?
Pole, inaonekana "nimekushika pabaya". Majibu yako yanaodhihirisha ulivyo na kuwa sijakosea au amelamba unga?