What is your PHOBIA?

Naogopa sana Jongoo ingawa naweza shika nyoka, kinyonga na wengine

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mkuu Santo labda nilikuwa sijakuelewa. Please nieleze vizuri.
Kuwa na hofu a.ka. uoga ni moja kati vitu vibaya zaidi kumkuta binadamu. Mfano mtu mwenye HIV anakuwa hofu kubwa (msongo wa mawazo) ambao unapelekea kifo chake.!
 
= bundi,nyoka,simba,chui
= Janga la maji, moto
= jela
=ukimwi, kansa
=kibuti

loooooooooooool. Nimecheka mpaka nimemuamsha mwanangu. Simba? Bundi? Haha. Jela??
Pole lakini waubani. Kwa kweli its not fair kucheka kwasababu you cant explain some fears.
 
There are things I don't like or will rather not do or see, lakini phobia sina au Kama nnayo siijui bado
 
Kuku nakula ila naogopa bata mzinga wale wakubwa wanavimba shingoni hivi!

mh hao mkuu haupo peke yako. Nikiwaona njiani lazima nisite kwanza wavuke. Na nikishapita nigeuke.
 
mi naogopa jongooooo!!!!!!!!1 nikimwona mudi yote inaisha hata kama nilikua na njaa ctoickia tena!!! mh
 
Naogopa sana Jongoo ingawa naweza shika nyoka, kinyonga na wengine

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

nilitaka nishangae hamna aneogopa jongoo kweli? Ila wewe umenipa kali mdau. Unaweza kushika nyoka uogope jongoo?
 
Kuwa na hofu a.ka. uoga ni moja kati vitu vibaya zaidi kumkuta binadamu. Mfano mtu mwenye HIV anakuwa hofu kubwa (msongo wa mawazo) ambao unapelekea kifo chake.!

oooh yeah. My bad. Nimekuelewa. Kuna fears ambazo si phobia but zinatisha. Like the thought of starving. Or disease kama ulivyosema mkuu
 
There are things I don't like or will rather not do or see, lakini phobia sina au Kama nnayo siijui bado

mfano Gaijin, what would you rather not see?
 
mh, mimi naogopa sana haya madudu yanaitwa vunja jungu (praying mantis)...mh!uwiii!!
 
mfano Gaijin, what would you rather not see?

Watu wakila mafunza na vidudu vilivyo hai.

Ila hata ninapoona sio kwamba nakumbwa na extreme emotions kama kutapika.
 
loooooooooooool. Nimecheka mpaka nimemuamsha mwanangu. Simba? Bundi? Haha. Jela??
Pole lakini waubani. Kwa kweli its not fair kucheka kwasababu you cant explain some fears.

Hahaha! what about you?
 
A mild cynophobia (dogs) until we are formally introduced. I love dogs lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…