What is your PHOBIA?

I'm fuliaphobic as well as claustrophobic. I also fear snakes and heights!

 
Naogopa sana kufa nikipiga maesabu ya vitu vyote nitakavyo viacha hapa dunia.. luckly enough, there's life after death for believers..

ooooh yeah. Life after death renews the hope and diminishes the fear
 
Aise maji ni ya kina nayaogopa, imagine hata swimming pool not reachable to me!!! Ndege aise namba mbili!!! Nasafiri sana but sijaweza kuzoea ndege hata kidogo!!! Njia yote ni hofu tu. Natamani ningeweza kusafiri kwa magari but mabara utaweza? So sad kwa hapa.
 
naogopa sana buibui hasa wale wakubwa weusii....!!smtyms i have dreams about them....!!!nkiwaona naweza hata kuzimia...!!!thn octpus na crabs duuh!!

mkuu I feel you. Scorpion je?
 
Vingi, nitaweza kutaja vyote????
1. Radi
2. Fataki siju baruti na milipuko yote even balloon burst kiasi kwamba nikiona tu puto limejaa hapo nakosa amani nawaza anytime litapasuka
3.Safari kwa Private car kwenye High way nawaza njia nzima hata sisinzii kabisaa wala story hazipandi.
4. Nyoka sijui snake....uuuwi!!! hata kama kafa nikaambiwa alikutwa nyoka basi hiyo sehemu si salama kabisa kwangu
5. Sindano, hadi naona aibu baada ya tukio maana mkubwa mzima ila lazima kutokee varangati, na nimewahi kughairi kung'oa jino lililonifanya nikeshe, kisa ile sindano ya ganzi.
Lol
 
Mwaya balloon si mchezo. Na ikipasuka lazima mikelele.
Hiyo ya highway imebidi nicheke.
 
Jamani Kisukari unaogopa height ya kitu gani?:becky::becky::becky::becky::confused2:
 
= bundi,nyoka,simba,chui
= Janga la maji, moto
= jela
=ukimwi, kansa
=kibuti
 
Kuku mwenye vifaranga, naogopa naweza hata kugeuza njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…