Off cause umuhimu wa mboga za majani katika mwili hauna mjadala, tatizo hapo ni kachumbari! kama unahitaji kulala mchana huna haja ya kufakamia pillton,just kula kachumbari ya kutosha utapata majibu.Mie ni mpenzi mkubwa wa ugali,naweza kuula mwaka mzima wewe nibadirishie mboga tu tena maziwa mgando baridi glas moja pembeni inakuwa vema zaidi.