Pole aise,kwani uliombaje??Tatizo ni nini nikiingia kwenye profile yangu ya TCU koz nilizoomba zote hazipo imebaki moja tu ya DUCE Bsc.Education na wala sikuiomba
Asante!niliomba tu kawaida kupitiacTCU CASPole aise,kwani uliombaje??
Asanteee!Pole ndugu
kwingne inaandika hivyo lakn kwenye kuview selections inaonyesha course moja tu tena hata ambayo sikuichaguaKuna shida kwenye maombi yako, kwingine inasema - the system is closed to allow ....
AsanteeePole ndugu
asanteee nduguPole ndugu
Asantee kiongozPole.
Utachaguliwa hio iliyopo au hupendi kwenda DUCE.Tatizo ni nini nikiingia kwenye profile yangu ya TCU koz nilizoomba zote hazipo imebaki moja tu ya DUCE Bsc.Education na wala sikuiomba
Nimesoma art sio sayansUtachaguliwa hio iliyopo au hupendi kwenda DUCE.
Utachaguliwa hio iliyopo au hupendi kwenda DUCE.[/QUOTEN
Nimesoma art wala sio sayansi
Ok!asantee.. namba na jina vyote ni sahihikama ulifanya 2nd round ni kawaida huwa inatokea sometimes tcu wanapokuwa wanafanya selection inakuwa kwamba profile zinaingiliana angalia unapologin jina na no inayokuja kama ni yako, Tatizo hilo huwa ni temporary tu ila Kama namba na jina ni lako basi huenda ikawa case tofauti ingawa inatokea Mara kadhaa ila inaisha
Hii ni shida sasa.Nimesoma art sio sayans