AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,647
- 4,753
Hao waliondoa masifuri mengi kwenye pesa yao inawezekanaWataalamu wa masuala ya uchumi mtujuze tafadhali...
Kwaio purchasing power inaathiri vipi?Mkuu ukiilinganisha hivyo unakuwa unakosea. Kiuchumi value ya carrency unaievaluate kwa kulinganisha na purchasing power yake.
Mfano hapo unatakiwa ulinganishe je sh moja ya Tanzania ni sawa na gram ngapi yaa gold na ya Somalia ni sawa na gram ngap ya gold.
Elf 2300 utanunua vitu ambavyo 530 ya somalia inanunua... ova.Wataalamu wa masuala ya uchumi mtujuze tafadhali...
Nini kinaendelea kwenye hili la kushangaza?
USD 1 = SOMALI SHILLINGS 530/-
USD 1 = TANZANIAN SHILLINGS 2300.
Nini kimetokea hapa?
we na huyo jamaa kwenye avatar yako hamna tofautiMkuu ukiilinganisha hivyo unakuwa unakosea. Kiuchumi value ya carrency unaievaluate kwa kulinganisha na purchasing power yake.
Mfano hapo unatakiwa ulinganishe je sh moja ya Tanzania ni sawa na gram ngapi yaa gold na ya Somalia ni sawa na gram ngap ya gold.
Ukilipa malipo ya online inakuwa kama 2400+ hivi.Wataalamu wa masuala ya uchumi mtujuze tafadhali...
Nini kinaendelea kwenye hili la kushangaza?
USD 1 = SOMALI SHILLINGS 530/-
USD 1 = TANZANIAN SHILLINGS 2300.
Nini kimetokea hapa?
Mkuu ukiilinganisha hivyo unakuwa unakosea. Kiuchumi value ya carrency unaievaluate kwa kulinganisha na purchasing power yake.
Mfano hapo unatakiwa ulinganishe je sh moja ya Tanzania ni sawa na gram ngapi yaa gold na ya Somalia ni sawa na gram ngap ya gold.
Wewe ndio zero mara saba mara sabini na saba na elfu buku.Your second statement shows the highest level of an impeccable ignorance --- sentensi yako ya sekunde inaonesha hai lebo yako ya ugoro usiopikika
Hapa John Sinny umemaliza haihitaji maelezo ya ziadaElf 2300 utanunua vitu ambavyo 530 ya somalia inanunua... ova.
Na hapo kumbuka na dollar nayo inashuka thamani, hivyo thamani ya pesa yetu inamaanisha imeshuka zaidi hata ya hapoMwaka 2009
$ 1 ilikua ni 1000 tu
Leo hii inazidi kupanda tu
Kufkia 2025 itakua 3000 tuendelee kupambana tu
Mkuu ukiilinganisha hivyo unakuwa unakosea. Kiuchumi value ya carrency unaievaluate kwa kulinganisha na purchasing power yake.
Mfano hapo unatakiwa ulinganishe je sh moja ya Tanzania ni sawa na gram ngapi yaa gold na ya Somalia ni sawa na gram ngap ya gold.
Ni sawa ila wewe unaweza kuwa mpumbavu zaidi sababu umeshindwa hata kuja na hoja ya kupinga nilichoeleza bali umekuja na kejeliwe na huyo jamaa kwenye avatar yako hamna tofauti
Silaha zina bei kubwa, hivyo wanunuzi wa silaha wanaheshimika! Nawaza!!!Wataalamu wa masuala ya uchumi mtujuze tafadhali...
Nini kinaendelea kwenye hili la kushangaza?
USD 1 = SOMALI SHILLINGS 530/-
USD 1 = TANZANIAN SHILLINGS 2300.
Nini kimetokea hapa?
Mimi sielew elew , dhahabu inakuwaje kipimo cha thaman ya currency flani.... Nipe darasa Kama vip boss,why gold?Ni sawa ila wewe unaweza kuwa mpumbavu zaidi sababu umeshindwa hata kuja na hoja ya kupinga nilichoeleza bali umekuja na kejeli
Alisema "kwa mfano" Gold sio kipimo pekee. Katolea mfano. Kasome tena badala ya kukurupukaMimi sielew elew , dhahabu inakuwaje kipimo cha thaman ya currency flani.... Nipe darasa Kama vip boss,why gold?
We Fala nn,Alisema "kwa mfano" Gold sio kipimo pekee. Katolea mfano. Kasome tena badala ya kukurupuka
Mimi sielew elew , dhahabu inakuwaje kipimo cha thaman ya currency flani.... Nipe darasa Kama vip boss,why gold?