What is wrong with me?

Scorpions normally experience mood swings in a way that confuses them...so it is all about your astrological sign and that will last for a lifetime!!!
 

Pole sana dada watu wengi ni vigumu kwanza kujua lakini pili kukiri udhaifu wao jambo ambalo linachangia kuongeza madhara ya udhaifu wenyewe. Kila mtu ana udhaifu wake the moment unafanikiwa kujua wakwako tayari ni hatua kubwa sana katika kupambana nao. Kwa mujibu WA saikolojia hali hii husababishwa Na maisha uliyopitia, hardship pamoja Na jinsi wale waliokuwa karibu yako walivyokutenda.

Kwa ufupi kwanza kataa hiyo hali, kuwa mtani Na kubali kutaniwa hasa Na wale uliokaribu nao, jitahidi kusahau your past no matter how painful it was. Washirikishe your close friends Kama ulivyofanya hapa Jukwaani sometimes jaribu kufanya vile vitu ambavyo hupendi kufanyiwa. I am sure ni vigumu sana wewe kumtukana mtu, Na Mara nyingi unapenda kila kitu kiende vile upendavyo wewe try to be flexible while maintaining your focus. Zaidi ya hapo Mungu hamtupi mja wake kaa nae, ongea nae utashinda. Good luck!!!
 
Asante sana
 
Hzo n Dalili za kifo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…