kwaiyo Ile ya nchi anayotoka wanaiweka pembeni mpaka atakapmalizana na ilo shirika au inakuwajeNi travel documents ambayo wanapewa wafanyakazi wa baadhi ya taasisi kubwa.
Kwa hiyo ni kama National passport
IMF WB na WHO ni baadhi ya wanaopewa hizo passport ukimaliza kazi kwao unairudisha na unatumia ya nchi yako.kwaiyo Ile ya nchi anayotoka wanaiweka pembeni mpaka atakapmalizana na ilo shirika au inakuwaje