What is the Truth?

Hamuyu uko right kabisa! Hii ni moja ya mind games wanazocheza kina dada! Style ya kihindi hiyo inaitwa! Kila moja anajiona yupo unique kumbe uwi!
 
Mara nyingine unaweza kuta mke au girlfriend wako anakujulisha wanaume wanaomtokea na mara nyingine hao wanaume ni marafiki wako sana au kiasi! Lakini mimi nahisi kuwa huwa kuna uwezekano wa mojawapo au baadhi ya haya yafuatayo;

1. Labda mpenzi wako anakueleza hayo in a fair ground just as the way to be open to you.

2. Anakueleza just unconsciously na hata baadaye huenda akajutia kukuambia.

3. Huenda mpenzio alikuwa na affair na huyo mwanaume, na hivyo anakuambia hivyo baada ya kuhisi kuwa huenda umenote itu kama hicho, hivyo anakueleza kama njia ya kujihami kwako.

4. Labda alikuwa na mahusiano na jamaa huyo, lakini sasa anataka kusitisha, then kutokana na udhaifu wake au kutokuwa na sababu za msingi, anakutumia wewe kureact ili kukatisha mahusiano hayo kwa interest zake.

PLEASE WOMEN, Talk about this.........!

What is the Truth.......?
Kwenye Red ndo ukweli
 
Mwanamke akitongozwa na mtu mwenye qualities zako au za juu yako anakula yamini ila akitongozwa na chakaramu anampotezea na anakusemea ili umkong'ori risasi.

Mkuu,umenivunja mbavu hapo kwenye bold ,duh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom