What is the sweetest thing....

What is the sweetest thing in
this world?
a. Kissing
b. Eating chocolates
c. Alcohol
d. Smoking weed
e. Having money
f. Knowing God
g. Getting married
h. Having babies
i. Having peace
j. Being rich
k. Others.....?

Kumtegemea Mwokozi, kwangu tamu kabisa, kukubali neno lake, nina raha moyoni.
YESU YESU NAMWAMINI, NIMEMWONA THABITI, YESU YESU YU THAMANI AHADI ZAKE KWELI
 
Jamani yamekuwa hayo tena sweetlady basi naomba unisamehe nilikuwa natania naona umekuwa serious haya ngoja nikuache kwani mie ninaye wangu bana tena analipa ile mbaya sitaki kumwanika humu kama wewe sweety unavyomuanika anaanzia na herufi E
mwambie kwani hajui, unapenda kunilinda thats why nakupenda sana Sweetylady
 
Kumtegemea Mwokozi, kwangu tamu kabisa, kukubali neno lake, nina raha moyoni.
YESU YESU NAMWAMINI, NIMEMWONA THABITI, YESU YESU YU THAMANI AHADI ZAKE KWELI

Nafurahi kwa sababu nimekutegemea, Yesu mpendwa na rafiki uwe nami.......
 
Watu kwa kupenda kuwapa wenzenu homework, hata jumapili hamna huruma! Sweetlady naomba kugezea, huyo E ndo nani? Ama Excy? Ntapaliwa na umbea mie
Jamani yamekuwa hayo tena sweetlady basi naomba unisamehe nilikuwa natania naona umekuwa serious haya ngoja nikuache kwani mie ninaye wangu bana tena analipa ile mbaya sitaki kumwanika humu kama wewe sweety unavyomuanika anaanzia na herufi E
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli Asulo bora kumtegemea Yesu pekee maana ukiwategemea wanadamu hawatakusaidi chochote niimeipenda hiyo vessel nitumie katika pm kule kwangu asulo mana hakina nitonye na sweetlady naona wananiondolea upako wangumie Mungu awaasaidie sana
siku njema
Nafurahi kwa sababu nimekutegemea, Yesu mpendwa na rafiki uwe nami.......
 
Wewe king'asti sijampa mtu yeyeto homework humu jf ndugu umeninukuu vibaya nilikuwa naongea na hakina nitonye na sweetlady tu mbona unapenda kuingilia mambo ya watu wewe na huyo uliyemtaja hapa ni nani mm nimeweka tu alama ya E wee unataka ugomvi tu Mungu akusamehe kwa maana hujui ulilotendalo wewe
achana na Mtoto wa watu kumtaja hapa bure ulete ugomvi mie sipendi kabisa sijazoea mabomu ya machozi hapa[
usiku mwemaQ
UOTE=King'asti;4872748]Watu kwa kupenda kuwapa wenzenu homework, hata jumapili hamna huruma! Sweetlady naomba kugezea, huyo E ndo nani? Ama Excy? Ntapaliwa na umbea mie[/QUOTE]
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom